mkuu hiyo kali tuko pamojamarando anasema, anaomba pinda avae joho akawatetee madiwani wasaliti mahakamani na yeye atasimama kwa niaba ya chama.
Sasa anaongea mh. Lema (by filipo)
Asante mkuu tunasubiriniwapongewaliokuwa wana ripoti picha na video zina kuja ili kwa wale wabishi washushuke..
<br />na sisi madiwani tuliofukuzwa chadema tutafanya mambo yafuatayo:<br />
1. tutakwenda mahakamani kupinga udikteta uliofanywa na viongozi wa chadema kutufukuza chaguo la wana Arusha<br />
<br />
2. tutaandaa mkutano mkubwa jijini arusha ili kujibu mapigo ya mkutano wa leo pia kuwaeleza wananchi kinaga ubaga nini kinaendelea ndani ya chadema, na mchakato wa uchaguzi ulivyoenda na maovu yanayofanywa na Lema kuhujumu Arusha