Nussayr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 241
- 233
Tafakari upya kauli yako hii!!Hasara yao wazazi waliomzaa mtoto, kila mtu atabeba msalaba wake kiongozi.
Tafakari upya kauli yako hii!!Hasara yao wazazi waliomzaa mtoto, kila mtu atabeba msalaba wake kiongozi.
weka picha mkuuNimemshuhudia jamaa, akiingia guest na mke wa mtu, mbaya zaidi mke wa jamaa anaeibiwa ana, mtoto wa miaka 3, wote watatu mke wa mtu, mtoto na kaka kibaka wa mke wa mtu, wameingia chumbani ndani guest house, hata kama wanagegedana kitoto kina angalia masikiniii! hii live mbagala maji matitu.
Wameingia kwenye guest ya mecyur ee?!Nimemshuhudia jamaa, akiingia guest na mke wa mtu, mbaya zaidi mke wa jamaa anaeibiwa ana, mtoto wa miaka 3, wote watatu mke wa mtu, mtoto na kaka kibaka wa mke wa mtu, wameingia chumbani ndani guest house, hata kama wanagegedana kitoto kina angalia masikiniii! hii live mbagala maji matitu.
Kwahiyo ndio hao?!
Vibaya sana Mwanangu nomaaaa.Hee jamaa hilo tukio limekuchizisha nini?
Ulimi auna Mfupa mkuu, tuendelee na mada.Tafakari upya kauli yako hii!!
Hmmm! Mke Katutorokaaa.Mbona Mume wake ndiye aliye mruhusu alafu wakakubalina aende na mtoto awahishe hela ya mboga .
Vyuma Vimekaza.
Vema basi ukitambua kama umekosea na tengua kauli hiyo!! Ili tuendelee na mada.Ulimi auna Mfupa mkuu, tuendelee na mada.
Hii kali na mbaya aisee.
Pesa ndio sabuni ya roho Smart911:
Hongera kwa kuwa na gari.Baadae kidogo wakuu na drive.
Kawaida mkuu.Hongera kwa kuwa na gari.