Leo ndio leo wallahi kua uyaone,,,,

Nimemshuhudia jamaa, akiingia guest na mke wa mtu, mbaya zaidi mke wa jamaa anaeibiwa ana, mtoto wa miaka 3, wote watatu mke wa mtu, mtoto na kaka kibaka wa mke wa mtu, wameingia chumbani ndani guest house, hata kama wanagegedana kitoto kina angalia masikiniii! hii live mbagala maji matitu.
weka picha mkuu
 
Wameingia kwenye guest ya mecyur ee?!
 
951a0a235dce899d12ab21a8e941c460.jpg
Kwahiyo ndio hao?!
 
Haya maisha yanataka moyo, vinginevyo unaweza kukufuru kwa kukanusha maamrisho ya muumbaji.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom