Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,712
- Thread starter
- #41
Vyuma vimekaza mkuu.hii kitu ipo sana kipindi hiki
Vyuma vimekaza mkuu.hii kitu ipo sana kipindi hiki
Tufanyaje sasa hapo mkuu, kama wewe?Watu wengine ndivyo walivyo. Tamaa ya mwili inashinda utu na ufahamu.
Sijavunja kitu hapo mkuu, hata picha sijatuma mkuu.Mkuu usivunje ndoa za watu!
inawezekana aisee.Hee jamaa hilo tukio limekuchizisha nini?