Leo natangaza rasmi kuacha kushabikia soka la Tanzania

Sema tu Simba imekupa stress acha visingizio. Then huyo kocha wenu kajiuzulu mwenyewe ulikata timu imbembeleze abaki wakati hataki kazi anymore?
Mpira wa bongo ni magumashi mzee. Hautakaa upige hatua. Ukipiga hatua mbili mbele unarudi nyuma tano.
 
Gomez ameonewa na hamtapata coach bora kama gomez nakuambieni pale simba mmeweka siasa ila uyu jamaa anajua shida anapangiwa na wazee wanaojifanya kuijua simba ila mtahjuta

Nye utopolo ni manyani kweli ,mlikuwa mnasema hana vyeti hafai ,kaondolewa mnasema hamtapata kocha kama Gomez
 
Sema tu Simba imekupa stress acha visingizio. Then huyo kocha wenu kajiuzulu mwenyewe ulikata timu imbembeleze abaki wakati hataki kazi anymore?
Huna ulijuwalo,
Ukimfukuza wewe inabidi ulipie mkataba wote, ndio maana mnafanya makubaliano anaandika barua ya kuacha kazi na mnamlipa mlichokubaliana, hiyo ndio system ya wahindi hadi kwenye viwanda vyao.
 
Bado ishu ni Ile Ile ulitaka wambembeleze abaki?
 
Niwe wazi kabisa. Soka la bongo niliacha kulifuatilia siku nyingi zilizopita. Na sababu haswa ya kuachana nalo ni aina ya mpira tunaocheza. Vilabu vilivyopo ni vitatu tu. Simba, Yanga na Azam. Hao wengine sijui Ihefu, Mbeya kwanza, Mbeya City na nyingine za aina hiyo ni upuuzi mtupu.

Mpira unaochezwa uwanjani ni wa hovyo, hauna kitu choxhote cha ufundi, ni butuabutua tu.
Waamuzi nao ni eneo lingine ambalo linaangusha soka la bongo ambalo tayari ni bovu. Haswa linesman. Hawa hawajui wakati gani mchezaji anakuwa off side. Akiona beki kazidiwa mbio na mshabuliaji kawa mbele kwao wao ni off side hata kama alianza kukimbia akiwa on side.
Kwa kifupi sina muda wa kufatilia soka la bongo.
 
Simba imemuondoa Gomes sababu Hana vigezo vya kuwa kocha mkuu pindi timu itakaposhiriki michuano ya CAF CL...

Au mnataka awekwe tena jukwaani msimu ujao?
 
Gomez ameonewa na hamtapata coach bora kama gomez nakuambieni pale simba mmeweka siasa ila uyu jamaa anajua shida anapangiwa na wazee wanaojifanya kuijua simba ila mtahjuta
Gomes hajaonewa wala nn sababu nikua hana vyeti vya Caf
Nani atakua kocha mkuu Simba itakaposhiriki Caf CL?
 
Madrid gani unaongelea Mkuu hii hii ambayo imetoka kumla Barca kichwa Camp Nou juzi na favorite wa kushinda La liga na UCL msimu huu?

Hii hii mkuu...

Bado haijakaa sawa ile timu
 
Nimesoma wote kabla ya kuweka comment...

Hizo habari za Biashara mi naona umeweka kama kisingizio tu...

Mwishoni mwa uzi ukamwaga sumu zako za Simba...
Mashabiki wa simba wenye mioyo myepesi kama mtoa mada, watapata tabu sana msimu huu!

Huu ni mwanzo tu. Bado tutashuhudia vimbwanga vingi msimu huu.
 
Back
Top Bottom