Leo natangaza rasmi kuacha kushabikia soka la Tanzania

Leo hii tarehe 26/10/2021 mimi Chaliifrancisco nikiwa na akili timamu kabisa natangaza kusimama kufuatilia na kushabikia mpira wa hapa kwetu Tanzania. Kama nitakuja kushabikia tena sijui lakini itategemea na tathmini nitakazofanya mwenyewe nikiridhishwa nitaamua.

Sababu zilizofanya nifikie uamuzi huu ni kwanza kutokana na jinsi team zetu za hapa nyumbani zinavyoshindwa kufanya vizuri kimataifa kutokana na hujuma za baadhi ya watu (viongozi) mfano ni team ya Biashara Utd kushindwa kusafiri kwenda Tripoli kwaajili ya mechi ya marudiano katika kombe la Shirikisho.

Kumekuwa na tetesi kuwa viongozi walipokea rushwa ili wakwamishe team kwenda Libya. (Hata kama sio za kweli lakini kitendo cha kushindwa kupeleka team ni upuuzi usiovumilika kabisa).

Uongozi wa club walishajua watashiriki michuano hiyo tokea mwisho wa msimu na maandalizi yalitakiwa yawepo hata kwa kupitisha bakuli kama Yanga lakini wamezembea. Na kama ni kweli walivuta mlungula basi ni fedheha sana kwa soka letu. Hawa watu wafungiwe maisha na TAKUKURU wakamate wapige miaka 50 ndani.

Sababu nyingine ni team kutofanya vizuri kutokana na uzembe/kubweteka (complacency)

Mfano ni Simba msimu uliopita walibweteka sana na kuidhrau Kaizer Chiefs matokeo yake kila mtu anajua kilichotokea. Kiuhalisia kweli Simba alikuwa na nafasi nzuri zaidi ya kusonga mbele lakini complacency ndio tatizo.

Kitu hicho hicho kimejirudia tena msimu huu (weekend iliyopita). Haiingii akilini team ishinde ugenini goli 2 halafu kocha ashindwe ku manage mchezo wa marudiano nyumbani na team inafungwa 3 na kutolewa. Hii haikubaliki.

Kitu cha pili ni huu uamuzi wa club ya Simba kuamua kumtupiga virago kocha Didier Gomes. Hebu angalia CV (takwimu) za kocha huyu tokea ametua Msimbazi.
View attachment 1987372
Hivi ni wapi tutapata kocha mwenye uwezo kama huyu? Simba wametumia kigezo gani kuachana na huyu kocha? Kwa takwimu hizi ni ngumu kupata kocha ambae anaweza kufikia angalau robo tatu ya alichokifanya Da Rosa.

Mimi kutokana na habari hii ya kuondolewa Da Rosa ndio kumenifanya sasa nifikie maamuzi ya nilichokuwa nakifikiria cha kuachana na soka la Tanzania ambalo halina tija.

Yani ili uweze kuelewa soka la Tanzania lazima uwe na ukichaa fulani. Ukiwa mtu smart kama mimi hili soka la bongo halikufai.

Until then. I rest my case.
Kocha aliyekuwa na record ya kutisha pale Simba ni Pierre Liechantre.

Katika kikosi cha Simba alipoteza mchezo mmoja tu wa mashindano.
 
Hata Sven Vandenbroek nafikri naye alishinda mechi nyingi kuliko Gomez.
 
Hivi spirit ya kushabikia mpira mnapata wap
Yaan najitahid kushabikia mpira nashindwa kabsaa
Naomben msaada na uzee wangu huu ntajitahid hivo hivo tuu nipen technique tuu
Mkuu mpira kuushabikia huwa inaanza tu. Mimi binafsi nimeanza utotoni miaka ya 2000s. Mpira una uraibu kama vilevi vingine mkuu. Sasa wewe nadhani ni kama wale ambao hawatumii kilevi na wanawashangaa wanaotumia.
 
Mkuu nisaidie technique bas
Kwanza inabidi uwe mfuatiliaji. Ujue unataka kushabikia team gani. Ni kipi kinakuvutia kwenye hiyo team ni mchezaji au ni uchezaji wa team? Kisha anza kuangalia mechi za hiyo team na kufuatilia habari zake.
 
Okay sawa naomba nichagulie timu nzur ili niweze kufuatilia just start point tuu
 
Okay shukran mkuu
Kwa hiyo hiz za bongo ni utopolo mtupu?
Naomba ratiba ya Liverpool nianze rasmi
Bongo ufara mtupu hamna mpira humu mkuu. Mpaka mimi gwiji la mpira nimeinua mikono na kusalimu amri basi siwezi kukushauri wewe mgeni uanze kufuatilia michosho. Kuna thread ya Liverpool nimekutag angalia notifications zako.
 
Back
Top Bottom