Leo najihisi "guilty" sana moyoni

Leo najihisi "guilty" sana moyoni

Yaniii kudate na MTU unaefanya nae kazii ni zaidi ya sumuu....!! Utamkosaa huyoo uliekuwa nae kwa muda mrefuu na huyo wa kazini akishakukulaa tuuu yanii HUTAMUONAAA TENAAA....!! poleee Sana maana unajichimbia kaburiii lakoo mwenyewee

Sent using Jamii Forums mobile app
hatufanyi kazi ofisi moja ila kuna vitu tunashare kikazi tunasaidiana
 
Fuata moyo wako huku ukifuatana na ubongo wako.
 
Huyu kaka kila nikitaka kumuhakikishia nina mtu wangu hataki hata kunielewa tunaheshimiana nasipendi watu wanatuzunguka wajue maana naona kama hawataamini ila wanaume sio watu jamani sikutegemea kabisa mimk
you are in pove...just do what you feel....ushauri sidhani kama utasaidia hapa enjo life ila kuwa makini pia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom