Leo najihisi "guilty" sana moyoni

Leo najihisi "guilty" sana moyoni

Kwakua hakunaga moyo mmoja unaopenda watu wawili ,na ili ww ndo usichakazwe zaidi .....3 sentences

Achana na wakwanza

Endelea na wapili

Kwasababu hukumpenda wa kwanza .

UPDATES

nmepitia nyuzi za mtoa mada ,nmegundua mambo makubwa mawili.

ni mtunzi wa stori...... Au
ni Sukubasi (In Mshana JR's Uzi waleo)

ACHEN KUJIPINDA KUANDIKA MAANDIKO MAREFU YENYE KUTUKANA,KUSHAURI WALA NN..MNAPOTEZA MUDA WENU !!

uzi mwema !!
I second you
 
Sijui ni mimi tu,ila ninapokutana na uzi mwanamke anamsaliti mwanaume wake,eti anaomba ushauri huwa navaa viatu vya muhusika alafu ubongo unafikiri harakaharaka kama vile picha naiona alafu najikuta naboreka tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku utakayo pigwa kibutu usisahau mrejesho. Manake sisi wanaume huonesha kucare sana pale hatujala mzigo lakini tukishashiba hio papuchi. Hafadhali ya simba kuliko mwanaume kinganganizi wa papuchi

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Sijui ni mimi tu,ila ninapokutana na uzi mwanamke anamsaliti mwanaume wake,eti anaomba ushauri huwa navaa viatu vya muhusika alafu ubongo unafikiri harakaharaka kama vile picha naiona alafu najikuta naboreka tu

Sent using Jamii Forums mobile app
nisamehee tuu sikutegemea nikama nimejikwaa tuu
 
Kwakua hakunaga moyo mmoja unaopenda watu wawili ,na ili ww ndo usichakazwe zaidi .....3 sentences

Achana na wakwanza

Endelea na wapili

Kwasababu hukumpenda wa kwanza .

UPDATES

nmepitia nyuzi za mtoa mada ,nmegundua mambo makubwa matatu.

mwanaume mwenye ID yakike...Au
ni mtunzi wa stori...... Au
ni Sukubasi (In Mshana JR's Uzi waleo)

ACHEN KUJIPINDA KUANDIKA MAANDIKO MAREFU YENYE KUTUKANA,KUSHAURI WALA NN..MNAPOTEZA MUDA WENU !!

uzi mwema !!
Haa
Anatuchosha tu
 
Ofcourse maandish yake ni ya kiume.japo kajitahd

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ma dr walokuwa wamegundua dawa ya ukimwi walipotelea kwenye ndege ilopoteaga so jitambue
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom