GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,073
- 16,390
Sema jamaa kakushika kweli hufurukuti..Huyu kaka kila nikitaka kumuhakikishia nina mtu wangu hataki hata kunielewa tunaheshimiana nasipendi watu wanatuzunguka wajue maana naona kama hawataamini ila wanaume sio watu jamani sikutegemea kabisa mimk
Sent using Jamii Forums mobile app
