Nyanya mbichi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 3,716
- 2,218
Shangaa KUBENEA kukaa na LOWASA licha ya kumwagiwa tindikali
Katika siasa hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu, bali kuna maslahi ya kudumu!Bado nafikicha macho na wala siamini hiki ninachokiona. Naota au ndio ukweli wa hiki ninachokitazama? Hapana, siamini. Leo Kubenea anamshangilia Zitto!!?? Hii ni kali ya karne. Yaani pamoja na magomvi waliyonayo baada ya Kubenea kutumia vilivyo magazeti yake kumnanga Zitto lakini leo pale Bungeni anamshangilia na kumuona kama malaika na kuyashadidisha maudhui ya Zitto kwa bashasha ya makofi. Siamini ni Kubenea huyu huyu au mwingine au kilikuwa kivuli chake pale Bungeni.
Nikikumbuka wawili hao walivyogombana na kuadhiriana tena mbele ya hadhara na maandishi yasiyo ya kiungwana, lakini leo nawaona wamekaa pamoja tena kwa bashasha. Ama kweli hizi siasa zina mambo na vijambo. Tuweke akiba ya maneno!
http://mwanahalisionline.com/zito-kabwe-kutoka-uzalendo-hadi-usaka-tonge/
Zitto Kabwe Amjibu Kubenea....Asema ni Mgonjwa wa Chuki, Muongo na Kigeugeu | UDAKU SPECIAL BLOG
pale bungeni wapo kwa maslahi ya nchi na sio kuendeleza ugomvi wa mambo ya binafsi, kwaiyo we ukigombana na mtu hata akifanya jambo zuri huungi mkono? kama ndivyo ulivyo bas ufahamu wako ni finyu kias fulaniBado nafikicha macho na wala siamini hiki ninachokiona. Naota au ndio ukweli wa hiki ninachokitazama? Hapana, siamini. Leo Kubenea anamshangilia Zitto!!?? Hii ni kali ya karne. Yaani pamoja na magomvi waliyonayo baada ya Kubenea kutumia vilivyo magazeti yake kumnanga Zitto lakini leo pale Bungeni anamshangilia na kumuona kama malaika na kuyashadidisha maudhui ya Zitto kwa bashasha ya makofi. Siamini ni Kubenea huyu huyu au mwingine au kilikuwa kivuli chake pale Bungeni.
Nikikumbuka wawili hao walivyogombana na kuadhiriana tena mbele ya hadhara na maandishi yasiyo ya kiungwana, lakini leo nawaona wamekaa pamoja tena kwa bashasha. Ama kweli hizi siasa zina mambo na vijambo. Tuweke akiba ya maneno!
http://mwanahalisionline.com/zito-kabwe-kutoka-uzalendo-hadi-usaka-tonge/
Zitto Kabwe Amjibu Kubenea....Asema ni Mgonjwa wa Chuki, Muongo na Kigeugeu | UDAKU SPECIAL BLOG
Bado nafikicha macho na wala siamini hiki ninachokiona. Naota au ndio ukweli wa hiki ninachokitazama? Hapana, siamini. Leo Kubenea anamshangilia Zitto!!?? Hii ni kali ya karne. Yaani pamoja na magomvi waliyonayo baada ya Kubenea kutumia vilivyo magazeti yake kumnanga Zitto lakini leo pale Bungeni anamshangilia na kumuona kama malaika na kuyashadidisha maudhui ya Zitto kwa bashasha ya makofi. Siamini ni Kubenea huyu huyu au mwingine au kilikuwa kivuli chake pale Bungeni.

Siasa za Bongo zinafurahisha sana, leo rafiki kesho aduiHahahahahahaha
Huyo jamaa kahusika kumchafua Lowassa kwa asilimia mia tano.
Soma magazeti yake hayo gonga pale palipoandikwa lowassa ndio utajifunza huyo ni nani?
ZZK anatumika sana pale CDM inapokuwa na maslahi yake, wakishapata wanachokitaka wanaanza kumponda, ooh huyo CCM B, mara pandikizi, nk. Ukiangalia vizuri utaona hapa ZZK amekuwa ganda la muwa. Unalikamua na kumeza utamu kisha ganda unalitema. Kama wote wapo kwa maslahi ya nchi mbona ZZK amenyimwa hata uwaziri kivuli!!?pale bungeni wapo kwa maslahi ya nchi na sio kuendeleza ugomvi wa mambo ya binafsi, kwaiyo we ukigombana na mtu hata akifanya jambo zuri huungi mkono? kama ndivyo ulivyo bas ufahamu wako ni finyu kias fulani
Urafiki ni pundepunde tu lakini masilahi ni ngangari hatoki mtu.Bado nafikicha macho na wala siamini hiki ninachokiona. Naota au ndio ukweli wa hiki ninachokitazama? Hapana, siamini. Leo Kubenea anamshangilia Zitto!!?? Hii ni kali ya karne. Yaani pamoja na magomvi waliyonayo baada ya Kubenea kutumia vilivyo magazeti yake kumnanga Zitto lakini leo pale Bungeni anamshangilia na kumuona kama malaika na kuyashadidisha maudhui ya Zitto kwa bashasha ya makofi. Siamini ni Kubenea huyu huyu au mwingine au kilikuwa kivuli chake pale Bungeni.
Nikikumbuka wawili hao walivyogombana na kuadhiriana tena mbele ya hadhara na maandishi yasiyo ya kiungwana, lakini leo nawaona wamekaa pamoja tena kwa bashasha. Ama kweli hizi siasa zina mambo na vijambo. Tuweke akiba ya maneno!
http://mwanahalisionline.com/zito-kabwe-kutoka-uzalendo-hadi-usaka-tonge/
Zitto Kabwe Amjibu Kubenea....Asema ni Mgonjwa wa Chuki, Muongo na Kigeugeu | UDAKU SPECIAL BLOG
Mbona umeandika kishakunaku hv wewe mama?Hahahahhaha daaaa!! Siasa hizi unajua zamani nilikuwa simfahamu Kubenea zaidi ya kusoma habari zake kwenye magazeti yake ya udaku.
Mara ya kwanza kumuona siku ile bungeni anaongelea habari za shanga za wanawake daaah!
Jamaa mmoja anafanyanae kazi akanimbia zile makala alikuwa siyo yeye anayeandika alikuwa anaandikiwa na Dr Slaa.
Yeye alikuwa anaandika tu "Na Said Kubenea" nilikuwa najua kichwa sana huyu jamaa bungeni patakuwa moto kumbe hamna kitu aisee!
Sasa leo Kubenea amekuwa mtu wa kusafiria nyota ya Zitto.
Kubenea bana elimu yake ya hapa na pale.
Bado nafikicha macho na wala siamini hiki ninachokiona. Naota au ndio ukweli wa hiki ninachokitazama? Hapana, siamini. Leo Kubenea anamshangilia Zitto!!?? Hii ni kali ya karne. Yaani pamoja na magomvi waliyonayo baada ya Kubenea kutumia vilivyo magazeti yake kumnanga Zitto lakini leo pale Bungeni anamshangilia na kumuona kama malaika na kuyashadidisha maudhui ya Zitto kwa bashasha ya makofi. Siamini ni Kubenea huyu huyu au mwingine au kilikuwa kivuli chake pale Bungeni.
Nikikumbuka wawili hao walivyogombana na kuadhiriana tena mbele ya hadhara na maandishi yasiyo ya kiungwana, lakini leo nawaona wamekaa pamoja tena kwa bashasha. Ama kweli hizi siasa zina mambo na vijambo. Tuweke akiba ya maneno!
Ilikua dawa ya macho maana alikua haoni vizuriShangaa KUBENEA kukaa na LOWASA licha ya kumwagiwa tindikali
DuIlikua dawa ya macho maana alikua haoni vizuri