Leo Kubenea Anamshangilia Zitto!!??

Leo Kubenea Anamshangilia Zitto!!??

Bado nafikicha macho na wala siamini hiki ninachokiona. Naota au ndio ukweli wa hiki ninachokitazama? Hapana, siamini. Leo Kubenea anamshangilia Zitto!!?? Hii ni kali ya karne. Yaani pamoja na magomvi waliyonayo baada ya Kubenea kutumia vilivyo magazeti yake kumnanga Zitto lakini leo pale Bungeni anamshangilia na kumuona kama malaika na kuyashadidisha maudhui ya Zitto kwa bashasha ya makofi. Siamini ni Kubenea huyu huyu au mwingine au kilikuwa kivuli chake pale Bungeni.

Nikikumbuka wawili hao walivyogombana na kuadhiriana tena mbele ya hadhara na maandishi yasiyo ya kiungwana, lakini leo nawaona wamekaa pamoja tena kwa bashasha. Ama kweli hizi siasa zina mambo na vijambo. Tuweke akiba ya maneno!
In politics there's no permanent Enemy nor permanent Friend but there is permanent interest kwa hiyo usishangae katika siasa ni mambo ya kawaida sana ulimwengu mzima
 
Bado nafikicha macho na wala siamini hiki ninachokiona. Naota au ndio ukweli wa hiki ninachokitazama? Hapana, siamini. Leo Kubenea anamshangilia Zitto!!?? Hii ni kali ya karne. Yaani pamoja na magomvi waliyonayo baada ya Kubenea kutumia vilivyo magazeti yake kumnanga Zitto lakini leo pale Bungeni anamshangilia na kumuona kama malaika na kuyashadidisha maudhui ya Zitto kwa bashasha ya makofi. Siamini ni Kubenea huyu huyu au mwingine au kilikuwa kivuli chake pale Bungeni.

Nikikumbuka wawili hao walivyogombana na kuadhiriana tena mbele ya hadhara na maandishi yasiyo ya kiungwana, lakini leo nawaona wamekaa pamoja tena kwa bashasha. Ama kweli hizi siasa zina mambo na vijambo. Tuweke akiba ya maneno!
Mkuu ni kwa nini umeshangaa namna hiyo?usiwe na roho ya visasi kama yule jamaa maana havisaidii zaid ya kubomoa
 
Kubenea bana elimu yake ya hapa na pale
Sasa Mbowe alitaka kubenea awe Mwenyekiti wa PAC alimuona kichwa sana.. Mimi nilishagundua mda mrefu kua ni box tu.. Hawezi ata kujenga Hoja.
 
Mkuu ni kwa nini umeshangaa namna hiyo?usiwe na roho ya visasi kama yule jamaa maana havisaidii zaid ya kubomoa
Hapana unapoona funzo kwa walimwengu ni vyema ukawatonya wenzio. Hapa kuna funzo zuri kwetu sisi walimwengu. Adui wa jana ndie rafiki wa kesho. Na pia usishangae rafiki wa leo akawa adui wa kesho!!?
 
wana ccm mnatatizo la kukariri tu bila kufikiria, kwa hiyo kama zito aliongea pumba angemshangilia tu? na kama leo kaongea la maana amzomee?! Lamima muwe mnajifunza kabla ya kuropoka, hakuna alie mkamilifu hivi si sendeka aliemsifu Lowasa kwa utendaji wake alipokuwa ccm na sendeka huyohuyo ndie anaemponda lowasa kwa kuwa tu kaondoka ccm, sasa huu ndio mgando wa akili.
 
SIKU ZOTE ISHI KWA SABABU, HII NDIYO MISINGI YA MAISHA. UKIMUONA MBOWE ANAMCHUKIA ZITTO, WEWE HUSIMFUATE MBOWE, FUATA AKILI YAKO. KWANI IPO SIKU UHASAMA WAO UTAISHA WEWE UTABAKI KAMA ZUZU.
 
Hapana unapoona funzo kwa walimwengu ni vyema ukawatonya wenzio. Hapa kuna funzo zuri kwetu sisi walimwengu. Adui wa jana ndie rafiki wa kesho. Na pia usishangae rafiki wa leo akawa adui wa kesho!!?
Swadakta mkuu hili liko wazi
 
Hapana katika siasa hakuna Rafiki wa kudumu wala Adui wa kudumu, kumbuka vyama pinzani vyote vinajenga nyumba moja, usishangae hilo kwa kubenea na zitto
 
Back
Top Bottom