Hahahahhaha daaaa!! Siasa hizi unajua zamani nilikuwa simfahamu Kubenea zaidi ya kusoma habari zake kwenye magazeti yake ya udaku.
Mara ya kwanza kumuona siku ile bungeni anaongelea habari za shanga za wanawake daaah!
Jamaa mmoja anafanyanae kazi akanimbia zile makala alikuwa siyo yeye anayeandika alikuwa anaandikiwa na Dr Slaa.
Yeye alikuwa anaandika tu "Na Said Kubenea" nilikuwa najua kichwa sana huyu jamaa bungeni patakuwa moto kumbe hamna kitu aisee!
Sasa leo Kubenea amekuwa mtu wa kusafiria nyota ya
Zitto.
Kubenea bana elimu yake ya hapa na pale.