Leo imekuwa siku ya furaha kwa maskini

Leo imekuwa siku ya furaha kwa maskini

View alizokuwa anapata hata azifiki 40 K. Wachekeshaji kina kingpusi wanapata views zaidi ya million 200 kwa video moja na chini ya miezi sita kapata views billion 2. Na facebook inalipa usd 10000 kwa kila views million moja kwa hiyo kingpusi kaingiza USD 2 millions kwa miezi sita.
Chai 😂

Weka Ushahidi wa hizo views za Kingplus
 
Tunaomba iwe kweli hii habari ya chief godlove kufulia na kunyang'anywa magari aliyokuwa anajigamba nayo kumbe siyo yake.

Vijiwe na vibaraza vya umbea vimechangamka balaa. Mitandao ya kijamii imechangamka.

Huzuni, shida na njaa zimetoweka kwa muda. Yani ni full shangwe.

Mungu kweli si athumani anajuwa kuwafariji wanyonge.

Furaha yetu ni tajiri akipatwa na matatizo kafulia, kafungwa, kafiwa na kugongewa.
Magufuli ndio aliwajaza wananchi Mentality ya kuchukia matajiri
 
Yeah , wamatumbi kama umejipata hakuna haja ya kuwabembeleza na kuwaonea huruma
 
Watu wengi wanapoteza nguvu kubwa kumchukia Chief Godlove bila kujua kwamba jamaa ni content creators kama wengine. Anachokifanya mtandaoni ndo kula yake. Ila ninawasihi vijana wengine wajiepushe na media pale wanapoanza kuyaonja mafanikio. Kumiliki umaarufu kuna gharama kubwa. Kuna vijana waliowahi kujitokeza kwenye media kuwa wana hela ila baadae tunawaona wakiwa kwenye matatizo makubwa ya kifedha ikiwemo madeni. Kisa cha kijana Ngowi kilinisikitisha.
 
Lazima wachukie , Sasa mtu kashindia miogo ya mia tatu halafu wewe unamwonyesha maisha ya kifahari si lazima apanic
 
Back
Top Bottom