Huzuni tena kumbe yale magari ni yake

Huzuni tena kumbe yale magari ni yake

loose Nut

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2025
Posts
2,257
Reaction score
5,155
Wuiii uuuruuuu wiyooo ni huzuni na maumivu. Jana tu tulikuwa na furaha Chief Godlove kafulia baada ya habari kusambaa mitandaoni magari yake yakichukuliw.

Vijiwe vya umbea na vibaraza vilichangamka balaa. Tukajuwa mwana wote tuko sawa. Hadi tulimshukuru mungu kwa faraja ya kipekee.

Lakini furaha yote imetoweka kumbe yale magari bado ni yake yalikuwa yanapelekwa Nairobi alipo sasa hivi.

Ni pigo kubwa sana kwa maskin.

Mungu tusaidie tena kuwa na furaha hata mfanye tu Elon Musk ashuke hadi dollars billion 15.

Jana usiku tulilala na furaha with out empty stomachs happy leo tutalala na huzuni with our still empty stomachs.

Soma Pia: Leo imekuwa siku ya furaha kwa maskini

MODS please mtufariji watu wenu asee.

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom