loose Nut
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 768
- 1,729
Tunaomba iwe kweli hii habari ya chief godlove kufulia na kunyang'anywa magari aliyokuwa anajigamba nayo kumbe siyo yake.
Vijiwe na vibaraza vya umbea vimechangamka balaa. Mitandao ya kijamii imechangamka.
Huzuni, shida na njaa zimetoweka kwa muda. Yani ni full shangwe.
Mungu kweli si athumani anajuwa kuwafariji wanyonge.
Furaha yetu ni tajiri akipatwa na matatizo kafulia, kafungwa, kafiwa na kugongewa.
Soma Pia: Huzuni tena kumbe yale magari ni yake