MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,707
- 71,003
Labda siku hizi ndiyo wameanza kufanyia kazi mambo ya mitandaoni, zamani walikuwa wanakataa teteteteteteteHaswaa, wacha tusubiri. Labda atahojiwa kwa vile umeandika uzi. Maana wanafanyia kazi habari za magaezetini na social media... teh teh!?
Halafu ikiwa mpinzani ndio mhanga hua wanajibu hawafanyii kazi mambo ya mitandaoni.Haswaa, wacha tusubiri. Labda atahojiwa kwa vile umeandika uzi. Maana wanafanyia kazi habari za magaezetini na social media... teh teh!?
Siku hizi uhalifu sio adui yao mkuu, adui yao mkuu ni upinzaniHalafu ikiwa mpinzani ndio mhanga hua wanajibu hawafanyii kazi mambo ya mitandaoni.
Nimefuatilia nimekuta waya unatokea kwenye transformer, labda tuwaombe tanesco wazime umeme ili tuukate wayaYule ni speaker tu mkuu '' Tafadhali fuatilia waya wake unapotokea
Yule ni speaker tu mkuu '' Tafadhali fuatilia waya wake unapotokea
Wahenga tumekuelewa...tehNimefuatilia nimekuta waya unatokea kwenye transformer, labda tuwaombe tanesco wazime umeme ili tuukate waya
Aisee ikulu ina wenyeji wa ajabu sanaHuyo ni mwenyeji wa ikulu
Wala usipate taabu kumfahamu
Hata hiyo jana kina Max kuhojiwa haikuwa sahihi.Shutuma alizotoa musiba ni kubwa sana, hizi ni tuhuma ambazo haziwezi kupita bila muhusika kuhojiwa, sasa kama hatahojiwa kabisa nitajuwa huyu anatumwa sio bure, hatuwezi kudanganyana kuwa huyu ni mgonjwa, kama ni mgonjwa basi apelekwe hospitali
Wahenga tumekuelewa...teh
Mkuu kwani ana elimu gani?Lile jamaa ni kama msukule rafiki. .kama yule ni sample ya wasomi wa hili taifa. ...Basi Taifa hili lina kazi wakati huu linaipitia kwenye wakati mgumu sana 'Mithili ya ndoa ya wapenda nao iliyo Ingia kwenye jehanam ya mitafaruku