Leo Ijumaa kwa Jideee.

Leo Ijumaa kwa Jideee.

Mimi sijafurahia kauli za mwana FA.

Eti nafikiria kuarisha show yangu ila sio kwasababu nina muogopa Mwanamke.

Why dont you reffer to Jide. hiyo ni kauli ya dharau kwa sisi wanawake.

All ladies please igore this arrogant peron.

Sipendi watu wenye madharau jamani. hivi wewe mwana FA tungeamua wanawake wote hatununui kazi zako wali kuja kwenye show zako ungekua na kuburi cha kutudharau leo???????????

Nimekerekaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.

YOU HAVE JUST SPOILT MY FRIDAY! HOPE JIDE WILL RE-IGNITE IT

Alaaa! dharau ni kwa upande mmoja tu eeeh?
 
vivian kuna wakati nilisema huku jf kuwa mwanafa simpendi mkanichana
yako wapi, mwana fa kakaa kiumbeya umbeya tu
msomi na ana kazi nzuri lakini ndo yuko vile

mnaoneda jamani muungeni jide mkono
..."mmenisema sana jamaaa aaaaa"

Last edited by a moderator:

Hii habari kule twitter imenoga kweli.
Wengi wanamsupport jaydee though sijui kama ni kwa maneno tu.
Zimeongezwa tena ticket 300 . . . ANACONDA anatisha jamani!!
 
ule msiba wa Langa ndo wameamua kuupotezea nini?
 
vivian kuna wakati nilisema huku jf kuwa mwanafa simpendi mkanichana
yako wapi, mwana fa kakaa kiumbeya umbeya tu
msomi na ana kazi nzuri lakini ndo yuko vile

mnaoneda jamani muungeni jide mkono
..."mmenisema sana jamaaa aaaaa"
Mamndenyi Leo Jide atafunika umati wa kihistiria!! viva iron lady
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi namshanga sana FA bifu za nini na mwanamuziki mwenzako

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kumdhalau mwanamke kwa sababu tu ni mwanamke ni sawa na kumshangaa mama yako kwa nini alikuzaa
 
Kulikuwa na haja ya kuandika kama ulivyoandika hapa juu kweli?
Arushaone hiyo avatar yako mie huniacha hoi .................... this man was a dude kwenye Think like a man, act like a lady (Sikumbuki title vizuri). Ooopss kumbe hapa ni juu ya Mwana FA............... mie nawawish wote wawili a happy and successful shows (Hivi wanafanya show moja au? Maana sie wengine tuko kushoto na starehe za aina hii.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom