masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,378
- 19,267
sijui mwezi mtukufu
ngoja tuone ....fuatana nami
ngoja tuone ....fuatana nami
Duuuuuuuuuu....mpya leo
masai dada nakupenda.
Huwaga sikosag fnl bt Leo wataheshim mwez mtukuf
fnl ndo nini?
tabia au sura?????
Ney wamitego kaulizwa eti anasali dini gani..??
Ni mkristo anaye mwaamini mungu....ila hana kanisaa... so mbona huyu jamaa ana tuchanganyaa kwani sheria ya ile dini nyingine inayooanzwa na fe....... mojaa ya sharti lao ni kumwamini mungu
Mimi nilikua nafikiri angeetaja kabsaa kanisaa analo sali..
Sura na shepu..
fanya yako na lala
Fnl ndo nini?
kwanza anaulizwanhabari za mtoto anaannza uswahili mwingiii