Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,378
FNL ilikuwa enzi za ssebo baasi
Interview yotee anaongelea mtoto utafikiri kaitiwaa aje kujitetea kwanini analea watoto wa kati mama zao wapo hai
Hivi ney hyo ndo saut yake au anabpana sauti,...**
Kingee dimpoozi kaulizwa kwanini eti atoii support kwa domo kwakumpost kwenye social nertwerk kwamtazomo wangu sijaona alicho jibuu chamaaana
Kweli kuna umuhimu waa wa mastar wetu kijifunza jinsi yakujibu maswali..
Hahaha Hahahaaa ommy dimpo kanichekeshaa kwelii etii "tumwombeee wemaa angie bungeni".
Anafikiri bungeni wanaingia wahuni wahuni tuuuu...
Wameshikwa akili na wema
sijui mwezi mtukufu
ngoja tuone ....fuatana nami
sijui hata wema kawafanya nini hao vijana
yaani masikio yao yote yameelekea kwa wema
hawana skills za interview
ila why diamond akishafanya kazi na mtu maelewano yanapungua
hii si hadi kwa davido,bob junior
ni kweli ommy na diamond haziivi
lakib why diamond
anatatizo gani?
FNL....baada ya mwezi mtukufu kuisha yule bidada karudi tena😛😛😛
Ni hatari kwa kwenda mbele..
duh.... weekend yote hii mko majumban mnakodolea tv...!? au tarehe hazisomi....!!?