Kayenga jr
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 443
- 349
Wenyewe AC wanatusua tu toka home mpk mahofisini
Hameni kwa mda mazee. Njoeni mikoani full kipupweDu....tutaiva mwaka huu
Arusha ni 32Nipo zangu Azura nachezea maji
Duhhhhh, tutatoboa kweli mzazi? Maana ni sheeedah sana aise.TAHADHARI...TAHADHARI Mamlaka ya hali ya hewa ya taifa inatahadhaisha watu wote kuwa PATAKUWA NA JOTO LILILOKITHIRI kwa siku kadhaa kuanzia kesho 20/03/2016 kutokana na sababu za kijiografia za jua kuwa katikaki ya ikweta hvyo patakuwa na 1.JOTO KALI SANA KUPINDUKIA
2. WATU KUANGUKA SABABU YA JOTO
MNAOMBWA KUNYWA SANA MAJI KUANZIA LITA 3 [kiwango cha chini]
KUPUNGUZA ULAJI WA NYAMA NA BADALA YAKE MLE SANA MBOGA ZA MAJANI NA MATUNDA
KUWEKA MAJI YALIYOWAZI NDANI YA VYUMBA ILI KUHIFADHI OKSIJENI
KUPIMA PRESHA MARA UJISKIAPO TOFAUTI
KUKAA NDANI (epuka safari zisizo na ulazima) HASA MIDA YA SAA SITA MCHANA MPAKA SAA TISA MCHANA
JOTO LINATARAJIA KUFIKA 40 DEGREES CELCUS
☝☝☝☝☝☝☝
Kunywa sana maji kwa kipindi hiki TAFADHALI
KWA taarifa zaid tembelea www.timeanddate.com/sun/tanzania/dar-es-salaam
Imetafsiriwa na ChumaYao Investment
Unamaanisha dole gumba?nimetoka jasho hadi kwenye kidole gumba
But still maji ya kuoga huko Arachuga ni bariiiidi, huku Dar ata maji hayaogeki, ni ya moto hatari, nimepita mitaa ya Coco beach leo mida ya saa 10 jioni yani watu wamepangana kwenye maji kama mamba wa mto ruaha!!Dar 34° hapa arusha 32°
Akwendree mbali sana..Ahahaaaaaa, bila shaka leo shemeji akwendreeeeee.....
mkuu hivi joto haliwezi ongeza ukubwa wa papuchi? vitu vikipata joto si hutanuka!?Mimi nilijihisi mgonjwa .. Kumbe ni jotrooo aisee Leo hapana michezo ile