Leo Dar ni sheedah, joto kali sana.

Leo Dar ni sheedah, joto kali sana.

d4bec1a5a9b292c30412028fcd93dcc5.jpg
 
Kuna mgeni
Alikataa kulala chumbani na kulala sebuleni
Akidhani ndio unafuu utapatikana
Alioga usiku zaidi ya mara 4
 
Tshs.4,500/= kwa kichwa kama una familia ya watu sita? Hapo bado una mkopo wa Laki 9 deni la Taifa kwa kila mwana familia yako! Si joto litahamia kwenye Ubongo
Si unakunywa ya nyumbani ya bomba ambayo umeyatibu kwa kuchemsha kwa kutumia rasilimali zinazopatikana katika maeneo yako (mabunzi), anyway jokes but poleni kwa joto
 
Njoone kinyerezi huku hali ya hewa kama upo baharini vile.tatizo mnaoishi vingunguti,buguruni,manzese,ilala,mwananyamala n.k hamuwezi kuepuka joto.
 
Hili mbona sio joto,nenda Doha bwana ,yaani kwa siku unakunywa lita kumi za maji,kwa wauza maji hii ndo fursa sasa
Mkuu doha hapafai kabisa, nawaza tuu jinsi jamaa watakavo deal na lile joto kipindi cha world cup maana walisema dunia isihofu kuhusu hilo sababu wanajua jinsi ya kulifix
 
Mkuu doha hapafai kabisa, nawaza tuu jinsi jamaa watakavo deal na lile joto kipindi cha world cup maana walisema dunia isihofu kuhusu hilo sababu wanajua jinsi ya kulifix
Sijui itakuwaje,watu watazimia uwanjani
 
We ni kibaraka wa Mr Mengi au siyo? Maana naona unatangaza bidhaa zake (maji ya Kilimanjaro)
Mkuu hupendi kunywa maji from the top of Mt Kilimanjaro?? Haya ngoja Kenya wachangamkie fursa na kuita products zao Kilimanjaro.
 
Back
Top Bottom