Leo Dar ni sheedah, joto kali sana.

Wonderful

JF-Expert Member
Apr 8, 2015
7,347
5,984
Tutatoboa kweli babake?
 

Attachments

  • IMG_20160319_143424.jpg
    IMG_20160319_143424.jpg
    94.7 KB · Views: 99
maji muhimu jamani, tujitahidi kila mtu amalize chupa tatu kubwa za kilimanjaro, maana hili jasho
 
Ni kawaida kila 21 march kama sikosei jua huwa la utosi hivyo tutarajie kuanzia leo hadi baada ya siku 3 hivi joto litakuwa kali sana kufikia hadi nyuzi joto 40.
Duh...
 
TAHADHARI...TAHADHARI Mamlaka ya hali ya hewa ya taifa inatahadhaisha watu wote kuwa PATAKUWA NA JOTO LILILOKITHIRI kwa siku kadhaa kuanzia kesho 20/03/2016 kutokana na sababu za kijiografia za jua kuwa katikaki ya ikweta hvyo patakuwa na 1.JOTO KALI SANA KUPINDUKIA
2. WATU KUANGUKA SABABU YA JOTO

MNAOMBWA KUNYWA SANA MAJI KUANZIA LITA 3 [kiwango cha chini]

KUPUNGUZA ULAJI WA NYAMA NA BADALA YAKE MLE SANA MBOGA ZA MAJANI NA MATUNDA

KUWEKA MAJI YALIYOWAZI NDANI YA VYUMBA ILI KUHIFADHI OKSIJENI

KUPIMA PRESHA MARA UJISKIAPO TOFAUTI

KUKAA NDANI (epuka safari zisizo na ulazima) HASA MIDA YA SAA SITA MCHANA MPAKA SAA TISA MCHANA

JOTO LINATARAJIA KUFIKA 40 DEGREES CELCUS
☝☝☝☝☝☝☝

Kunywa sana maji kwa kipindi hiki TAFADHALI

KWA taarifa zaid tembelea www.timeanddate.com/sun/tanzania/dar-es-salaam

Imetafsiriwa na ChumaYao Investment
 
maji muhimu jamani, tujitahidi kila mtu amalize chupa tatu kubwa za kilimanjaro, maana hili jasho

Tshs.4,500/= kwa kichwa kama una familia ya watu sita? Hapo bado una mkopo wa Laki 9 deni la Taifa kwa kila mwana familia yako! Si joto litahamia kwenye Ubongo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom