lizziebettie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 2,873
- 11,966
Kinyerez ipi? Mimi nipo zimbili nafwaaNjoone kinyerezi huku hali ya hewa kama upo baharini vile.tatizo mnaoishi vingunguti,buguruni,manzese,ilala,mwananyamala n.k hamuwezi kuepuka joto.
Kinyerez ipi? Mimi nipo zimbili nafwaaNjoone kinyerezi huku hali ya hewa kama upo baharini vile.tatizo mnaoishi vingunguti,buguruni,manzese,ilala,mwananyamala n.k hamuwezi kuepuka joto.
Mkuu nimefika! Nipo Tegeta hapa....joto 37 degree....kesho nageuza Arusha tuuuAcha usije, maana sijui kama utabaki salama mkuu!
mkuu hututakii mema na hii tumbua tumbua!!!Hameni kwa mda mazee. Njoeni mikoani full kipupwe