Jamani jamani aibu gani hiiPicha kama hii ilipostiwa siku 256 zilizopita, wewe unadai leo. Hii chai unakunywa mwenyeweView attachment 1720530
Picha kama hii ilipostiwa siku 256 zilizopita, wewe unadai leo. Hii chai unakunywa mwenyeweView attachment 1720530
Picha mbona ya kitambo hii[emoji216][emoji216][emoji216][emoji216]View attachment 1720507
Ah ah ah ah ah ah ah ah ah ahhivi wewe sio mwizi na wewe?
Huyu jamaa faller sana, kumbe tunadanganywa sana humuHapo sio tanzania.nyoka na kunguru sio mtanzania
Ebana ushastukiwa futa thread tu huna namnaBaada ya kusikia kelele za kunguru na kishindo kizito..
Thread haifutiki hata afanyajeEbana ushastukiwa futa thread tu huna namna
JF wamejaa ma GAME CHANGERS and ENTERTAINERS.Picha kama hii ilipostiwa siku 256 zilizopita, wewe unadai leo. Hii chai unakunywa mwenyeweView attachment 1720530
hahaha.picha inayopigwa tanzania inajulikana tu,jamaa katuona wajingaHuyu jamaa faller sana, kumbe tunadanganywa sana humj
Mwizi wa nini mkuu. Mimi hapa ndio nimekamata mwizi mbonahivi wewe sio mwizi na wewe?
Nimeona uzi mmoja unabishana na mjuaji mmoja anadai hidden roof zina gharama nafuu nikamcheka wakati nyuzi kibao humu huwa mnaonesha gharama zake maradufu.JF wamejaa ma GAME CHANGERS and ENTERTAINERS.
Nimeona uzi mmoja unabishana na mjuaji mmoja anadai hidden roof zina gharama nafuu nikamcheka wakati nyuzi kibao humu huwa mnaonesha gharama zake maradufu.
Unajua hata Twitter wamekuja watu flani hawana content