Leo asubuhi nimekutana na hii dhahma

Leo asubuhi nimekutana na hii dhahma

Aibu gani hii jamani[emoji848]
JamiiForums-1601062057.jpg
 
Nimeona uzi mmoja unabishana na mjuaji mmoja anadai hidden roof zina gharama nafuu nikamcheka wakati nyuzi kibao humu huwa mnaonesha gharama zake maradufu.

Unajua hata Twitter wamekuja watu flani hawana content
Kumbe na wewe ulikuwa unafuatilia yale mabishano? Binafsi hata mimi nilimuona yule jamaa mbabaishaji sana!
 
Mleta mada KAJITIMUA JUKWAA KWA HABARI YA KALE!!
 
😂😂😂😂 shetani amekushawishi uje kutudanganya saivi amekuacha na aibu zako kama hakujui vile
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] jamaa ameamua kuukimbia uzi wake
 
Oi SNAP J njoo utuelezee nini kilifata baada ya kishindo [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Nadhani mods waanze kuchapa ban angalau siku 21 kwa watu design hii wanaobainika kufanya huu wizi wa kimtandao..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom