[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] Ulijisikiaje Ndugu mtoajiMi nilinunua jeans kali 25000 enzi hizo ikanibana kiuno ikiwa mpya kabisa nikampa ndugu yangu mtoto wa ba mdogo kesho yake akaikata pensi,
Wanawake wa siku hizi ni pasua kichwa ndio maana wanaishia kuachwa..hawasikilizi waumeSasa mr sii ndio kichwa cha familia...fuata maelekezo yake acha ujuaji.
Ukiona anaivaa kilasiku ujue anaipenda Sana kuliko nguo zote kwaiyo hutakiwi kumzuiHabari waungwana.
Habari ipo hivi. Nyumbani tuna House gal ambaye Kama kawaida husaidia kazi za Nyumbani pamoja na kulea watoto .Sasa wkt anakuja nikagundua Hana nguo za kutokea kwa maana mfano kutokea tukienda mahali au akiumwa au akienda tembelea ndugu ZAKE weekend.
Nilichofanya nikampa nguo yangu moja NZURI ambayo hata Mimi ni zile za kanisani au kwenda sehemu special na pia nikamuongezea na za kushindia kwa maana za Nyumbani Kama anafanyafanya shughuli ndogo ndogo ,lakini wkt Nampa nilimfafanulia na Tena siku iyo nakumbuka alifurahi Sana na ni siku alikuwa anaenda kusalimia ndugu zake ilibidi avue Ile aliyokuwa ameivaa na kuvaa ile niliyompa akisema anashukuru Sana na ameipenda Sana .
Na alipovaa ni Kama alipimwa ilimpendeza Sana. Baada ya Kama wiki nikagundua Ile nguo ameigeuza ya kushindia na NDO anafanyia usafi.Nikamwita nikamwelekeza kwa Nini asivae zile zingine kwa maana Ile uwe Kama nilivyomuelezea.Akaelewa akaivua na kuifua.
Sasa Leo asubuhi naamka nikamkuta ameivaa anaifagilia nje na hata Jana yake aliivaa anamenyea nduzi(nikiongelea hivyo nduzi Zina utonvu na ni nyeupe) Nikamuuliza mbona umerudia kuifubaisha nguo NZURI na nilikuelezea? Nikamwambia vua ntampa hata ndugu yangu atakayeithamini.
Sasa Baba watoto akasema Kwanza Iyo nguo kumpangia masharti aivae vipi umekosea kwa kuwa wakati unampa hakukuomba ulimpa mwenyewe na kanuni ya kumpa mtu kitu chochote ukishampa umempa matumizi ni juu yake hata angeamua kudekia kufanyaje ni yeye maana imekuwa yake.
Kweli Kama mama nimeshangaa Sana kwa hizo kauli. Je Mimi makosa yangu ni yapi au ni kweli mtoto ndani ya nyumba hupaswi kumshauri(Huyo msichana Ana miaka 18 kwenda 19) Na ikumbukwe ni mista huyo huyo aliyenilalamikia kwamba huyo msichana tangia aje anavaa vinguo vyepesi na khanga tu akijua na yeye yupo kwa maana Kama Ana majaribu na akimfananisha na dada mwingine ambaye aliondoka ambavyo hakuwa na majaribu Kama ya huyu wa Sasa kwa maana kujipitisha Mara kajilaza ovyo Yaani Mambo Kama hayo.
(Kwa hayo malalamiko yake nikaongea na Dada nikamshauri jinsi ya kuvaa na hasa azingatie nguo za heshima.Walau akabadirika.
Sasa Leo NDO hayo.
Naombeni maoni na mista atawasoma Mana kajaa tele humu
Nyeye alikuwa anapenda pensi kwaiyo hakufanya kosa kila mtu ana penda nguo za tofauti na wengineMi nilinunua jeans kali 25000 enzi hizo ikanibana kiuno ikiwa mpya kabisa nikampa ndugu yangu mtoto wa ba mdogo kesho yake akaikata pensi,
Hapa ndipo unapopaswa kuwa mvumilivu kwa hayo ya dada wa kazi kwa maslahi mapana ya wanao (familia).Haaaa haaaa wanaume wanachelewa Basi muda tu inakuwa bado au mtu awe na hofu ya Mungu
[emoji2][emoji2][emoji2]Mi nilinunua jeans kali 25000 enzi hizo ikanibana kiuno ikiwa mpya kabisa nikampa ndugu yangu mtoto wa ba mdogo kesho yake akaikata pensi,
Sawa mpendwa, huo pia n uamuz wa busara 😊Point taken.
Ila Mimi Nina moyo flan flagile Kuepuka hayo sitampa Tena nguo yangu ya thamani Basi.Mana ntaonekana namnyanyasa
una gubu sana,ndoa itakushindaHabari waungwana.
Habari ipo hivi. Nyumbani tuna House gal ambaye Kama kawaida husaidia kazi za Nyumbani pamoja na kulea watoto .Sasa wkt anakuja nikagundua Hana nguo za kutokea kwa maana mfano kutokea tukienda mahali au akiumwa au akienda tembelea ndugu ZAKE weekend.
Nilichofanya nikampa nguo yangu moja NZURI ambayo hata Mimi ni zile za kanisani au kwenda sehemu special na pia nikamuongezea na za kushindia kwa maana za Nyumbani Kama anafanyafanya shughuli ndogo ndogo ,lakini wkt Nampa nilimfafanulia na Tena siku iyo nakumbuka alifurahi Sana na ni siku alikuwa anaenda kusalimia ndugu zake ilibidi avue Ile aliyokuwa ameivaa na kuvaa ile niliyompa akisema anashukuru Sana na ameipenda Sana .
Na alipovaa ni Kama alipimwa ilimpendeza Sana. Baada ya Kama wiki nikagundua Ile nguo ameigeuza ya kushindia na NDO anafanyia usafi.Nikamwita nikamwelekeza kwa Nini asivae zile zingine kwa maana Ile uwe Kama nilivyomuelezea.Akaelewa akaivua na kuifua.
Sasa Leo asubuhi naamka nikamkuta ameivaa anaifagilia nje na hata Jana yake aliivaa anamenyea nduzi(nikiongelea hivyo nduzi Zina utonvu na ni nyeupe) Nikamuuliza mbona umerudia kuifubaisha nguo NZURI na nilikuelezea? Nikamwambia vua ntampa hata ndugu yangu atakayeithamini.
Sasa Baba watoto akasema Kwanza Iyo nguo kumpangia masharti aivae vipi umekosea kwa kuwa wakati unampa hakukuomba ulimpa mwenyewe na kanuni ya kumpa mtu kitu chochote ukishampa umempa matumizi ni juu yake hata angeamua kudekia kufanyaje ni yeye maana imekuwa yake.
Kweli Kama mama nimeshangaa Sana kwa hizo kauli. Je Mimi makosa yangu ni yapi au ni kweli mtoto ndani ya nyumba hupaswi kumshauri(Huyo msichana Ana miaka 18 kwenda 19) Na ikumbukwe ni mista huyo huyo aliyenilalamikia kwamba huyo msichana tangia aje anavaa vinguo vyepesi na khanga tu akijua na yeye yupo kwa maana Kama Ana majaribu na akimfananisha na dada mwingine ambaye aliondoka ambavyo hakuwa na majaribu Kama ya huyu wa Sasa kwa maana kujipitisha Mara kajilaza ovyo Yaani Mambo Kama hayo.
(Kwa hayo malalamiko yake nikaongea na Dada nikamshauri jinsi ya kuvaa na hasa azingatie nguo za heshima.Walau akabadirika.
Sasa Leo NDO hayo.
Naombeni maoni na mista atawasoma Mana kajaa tele humu
Pensi 25000 ilikuwa ni matumizi mabaya ya fedhaNyeye alikuwa anapenda pensi kwaiyo hakufanya kosa kila mtu ana penda nguo za tofauti na wengine
Kidogo nimpe kesi ya kuhujumu uchumi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] Ulijisikiaje Ndugu mtoaji
KabisaaaMi nachofanya siku hizi ni kuziuza kwa wauza mitumba kwa Bei ndogo kabisa,, kuliko kumpa ndg akashindwa kukithamini heri hivyo tu
Umejuaje watu 8 bana .
Nakuelewa sana, ulikuwa na maana nzuri, lakini pia huyo ni mtu mzima ameamua kuishi kwa kuvuruga muache.Noted.
Sio mdogo wangu tu hata mtoto wa kumzaa wananguo zao special but point yako hii imenikumbusha kitu Mimi Nina watoto 2 mmoja mkubwa kidogo miaka 10 mwingine huyu mwaka 1.
Huyu huyu Dada nikitoka kazini nakuta kachukua zile nguo kwenye begi lake la nguo za kutokea yeye NDO anashinda nazo Napo nikamwelekeza usiwe unamshindishia hizo kwanza rahisi kufubaa na why wkt za kawaida na NZURI za Nyumbani zipo.Somo langu la Leo naona gumu kwa wengine na wengine wameelewa .Sasa hata wewe mpenzi hunaga tunguo flani tea safari au mtoko?labda hapo NDO kwenye utata
Wangejua kero ya kuishi na mdada mchafu asiyejipenda anavyoaibisha wakija wageni!kwa Nini ashindie nguo ya kutokea?shenzy zakeNa huenda Hawa wanaowatetea hawajawahi hata ajiri hao wadada wakajua tunachoongelea nimesoma comment Moja hapa inasema'huwa naamua tu kuwauzia wa mitumba kwa bei ndogo au kuziacha kabatini.Ni kweli kabisa Mimi sio mjinga nifungue Uzi tu eti nguo how??nimeongelea mtu kutothamini kitu unachopewa Cha thamani.Na Ukakichukulia kawaida tu.Ninyi mnaobisha hata thamani za kuwalipq na kuwarunza mahausigelo mnazisikia tu Radioni
Ndio kama hivyo tayari anataka kumpamda kichwa mume....ah hawa viumbe bila kiwa nao double double unakufa kwa preshaWanawake wa siku hizi ni pasua kichwa ndio maana wanaoshia kuachwa..hawasikilizi waume