Jamani Muhongo ni jembe mwacheni aendelee kwani kosa lake ni dogo kuliko mabadiliko aliyoleta katika srkta ya nishati. Mimi binafsi nimefaidika kwa kushushiwa bei ya kuunganishiwa Umeme kutoka tzs 2.2m mpaka 700,000! Mnyonge mnyongeni lkn haki yake mpeni. Na nyie Ukawa wenzangu tumieni haki tumbili wetu Werema tumemtundika na mahakama inamsubiri kwa kutumia vibaya madaraka kwa hiyo Muhongo mnamwonea kwani ni mchapa kazi na msemakweli. Namwomba Kafulila amsamehe.

Ni tusi kubwa sana mtu kudhani mimi ni ccm!
Ni wazi Muhongo na JK hawakukutana barabarani........ Mbona wanapendana hivi,Yani JK yupo radhi CCM ife lkn sio kumtoa Muhongo............mahaba ya dhati.
tpaul wapotee hao tufanye yetu CHADEMA Lembeli ni mtu hatari sana ni kigeugeu asiye na msimamo thabiti hata ndani ya chama chake kwangu mimi namchukulia kama popo! Usishangae akiona anguko la ccm ni dhahiri akageuka na kuwa mwanaukawa tena mzungumzaji hasa
Jk lazima afukuze Prof.Muhongo kabla ya tarehe 27.01.2015 asipofanya hivyo nitatembea dar-moro uchi
Lembeli hana haki ya kusema chochote kuhusu ufisadi au uzembe kwani yeye ni mshirika wa Nyalandu katika ujangili, ubadhirifu, ghilba na matumizi mabaya ya madaraka katika wizara ya maliasili ma utalii. Kamati yake imjadili kwanza Nyalandu ndipo anyooshee vidole wengine.
Jamani Muhongo ni jembe mwacheni aendelee kwani kosa lake ni dogo kuliko mabadiliko aliyoleta katika srkta ya nishati. Mimi binafsi nimefaidika kwa kushushiwa bei ya kuunganishiwa Umeme kutoka tzs 2.2m mpaka 700,000! Mnyonge mnyongeni lkn haki yake mpeni. Na nyie Ukawa wenzangu tumieni haki tumbili wetu Werema tumemtundika na mahakama inamsubiri kwa kutumia vibaya madaraka kwa hiyo Muhongo mnamwonea kwani ni mchapa kazi na msemakweli. Namwomba Kafulila amsamehe.
Lembeli kaisha hana jipya atafute pakutokea mwaka huu hachaguliki tena ndiyo maana anahaha kama anataka kutaga mpeni pole sana siasa siyo mafungu saba.
Ccm imeshajifia tuache kumsingizia muhongo
Mmepanga kumtanguliza ?
lembeli anasumbuliwa na frustrations, miaka yote ya ubunge hata nyumbani kwake hajafanya kitu achilia mbali kwa wananchi wake. Anatumiwa na Wapinzani ili kudhoofisha majembe ya JK ili CCM ionekane haijafanya kitu