Lema: Tutapokea kigogo wa CCM

Lema: Tutapokea kigogo wa CCM

Sasa ccm mshaanza kujilaumu kwa kumbeba makomeo,vumilia tu muandaeni awe kwenye kambi rasmi ya upinzani
Magufuli gari kubwa
Na bado halijaanza kuunguruma, muziki wake utazimia.

Mzee wenu mwenye parkinsons aanze mazoezi maana ulimi utamtoka!
 
Wajinga ndiyo waliwao! Lowasa na chadema wapi na wapi? Jana alikuwa fisadi papa leo amekuwa mwadilifu? Hii ni janja ya ccm kwani sisi maadili tutaacha hata kupiga kura na Chadema itasambaratika ili ccm ishinde. Msije kusema hatujawatahadharisha. Chadema bila lowasa ina nguvu za kutosha. Msituchangaje! Najua viongozi wetu wengine ni wanafiki na wanapenda pesa za mafisadi.
 
Acha kuweweseka wewe wapi niliposema ukabila?.
Km ndivyo basi mi nasema iwe isiwe lazima Rais atoke Ziwa! Ikishindikana gori la mkono litafungwa hata la ulimi.

Mzigo lazima ufike hata punda akifa teteteh!
 
Magufuli gari kubwa
Na bado halijaanza kuunguruma, muziki wake utazimia.

Mzee wenu mwenye parkinsons aanze mazoezi maana ulimi utamtoka!

Kaka bwana haya huyu aliyeapa kufuata nyayo za anayetoka duh!sijui kama atakuwa na malengo endelevu.Na imagine vifuatavyo:

1.Safari za kila siku zisizokuwa na tija zitaendelea.2.Ufisadi na madawa ya kulevya vitakuwa kwa kasi zIdi na nguvu zaidi.3.Rushwa kuwa kama sheri usipotoa rushwa usipewe service wala kuchaguliwa na hilo tumeliona maeneo mengi wati nia waCCM wakililalamikia na wenyeviti wakiwashangaa.4.Kurudi ukoloni kwa kasi kwa Vitalu vyote vya gas na mafuta kumilikiwa na wageni.

Sijui kaka yangu mpendwa utajilaumu au itakuwaje?Yetu macho kwangu mimi Lohassa hakufaa akiw CCM hatofaa akiwa CDM/Upinzani.

Tunahitaji Mageuzi ya uchumi na uongozi ninajua unajua ndani ya CCM hatuwezi kupata.
 
Magufuli gari kubwa
Na bado halijaanza kuunguruma, muziki wake utazimia.

Mzee wenu mwenye parkinsons aanze mazoezi maana ulimi utamtoka!

Tuna mtaji mkubwa wa kutosha kutuingiza ikulu,nawashauri muandaeni makomeo alijue hilo kuwa anaenda kuwa kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani
 
Teh Teh Dr.W.Slaa jitokeze hadharani utwambie utamfuta lini Lowasa kwenye orodha ya aibu?

Dr.W.Slaa naomba ujitokeze hadharani utwambie kama bado Lowasa ni fisadi au lah....

Leo Dr slaa kawa lulu na wa kunukuliwa kuhusu ufisadi? Acheni kutuhadaa. Slaa mliyemtupia matusi kila aina? Mnamaanisha serikali ya ccm reference yake kwenye ufisadi ni slaa? Sio taarifa za taasisi za serikali? Msitufanye watoto. Leteni ushahidi wa Lowassa kuwa fisadi sio kupiga kelele!
 
Last edited by a moderator:
Kaka bwana haya huyu aliyeapa kufuata nyayo za anayetoka duh!sijui kama atakuwa na malengo endelevu.Na imagine vifuatavyo:

1.Safari za kila siku zisizokuwa na tija zitaendelea.2.Ufisadi na madawa ya kulevya vitakuwa kwa kasi zIdi na nguvu zaidi.3.Rushwa kuwa kama sheri usipotoa rushwa usipewe service wala kuchaguliwa na hilo tumeliona maeneo mengi wati nia waCCM wakililalamikia na wenyeviti wakiwashangaa.4.Kurudi ukoloni kwa kasi kwa Vitalu vyote vya gas na mafuta kumilikiwa na wageni.

Sijui kaka yangu mpendwa utajilaumu au itakuwaje?Yetu macho kwangu mimi Lohassa hakufaa akiw CCM hatofaa akiwa CDM/Upinzani.

Tunahitaji Mageuzi ya uchumi na uongozi ninajua unajua ndani ya CCM hatuwezi kupata.

Hata tembo dua zao zote ni kuombea ccm watoke madarakani,maana kizazi chao kinazidi kuteketea mikononi mwa uongozi wa ccm
 
Waondoke tu hao mafisadi. Hawana chao CCM

kwani fisadi ni lowasa pekee yake??ccm walioiba pesa za escrow.epa.meremeta.kagoda.deep green.rada etc wataondoka lini? mbona lowasa kaiba richmond tu??vip chenge mpiga deal mkuu wa.ccm ataondoka??
 
kwani fisadi ni lowasa pekee yake??ccm walioiba pesa za escrow.epa.meremeta.kagoda.deep green.rada etc wataondoka lini? mbona lowasa kaiba richmond tu??vip chenge mpiga deal mkuu wa.ccm ataondoka??

Watajuta kumkata Lowasa yani tunaunganisha nguvu magamba wajipange kuwa wapinzani tu hakuna namna nyingine.
 
Mbunge wa Arusha Mjini,Godblees Lema, amesema watapokea "kigogo mkubwa" kutoka CCM pamoja na wenyeviti wa mikoa na wilaya katika mkutano utakaofanyika Dar-es-salaam.

Mkutano huo utafanyika wiki ijayo kwa mujibu wa taarifa hiyo.

Chanzo:Mtanzania

CCM mwaka huu lazima mtafute mchawi wakati mchawi/wachawi mlicheza nao mziki pale ukumbini.

Wewe jua kua ccm sio chama cha juzi. Wale washajifunza mengi na wanauzoefu mkubwa sana katika siasa
 
Back
Top Bottom