Lema: Tutapokea kigogo wa CCM

Lema: Tutapokea kigogo wa CCM

Hata mungu alivyotaka kumuangamiza farau..alitumia mtoto ambaye alimlea mwenyewe....ccm lazima wangoke kwa gharama yyte ile....

Itakuwa ni mwaka wa neema sana kwa watanzania
 
Hatimaye chdema nayo yaelekea kufa vuongozi wa chadema kama wamejaliwa maono japo kidogo tu waone athari za kumpokea lowasa chadema ninadhani waweza kuwa kuwa mwisho wake mwema.y

Ndio itakuwa furaha yako
 
Sasa hizi kelele mnazofanya ni za nini, mwacheni Lowassa afanye siasa anazotaka mwenyewe vile vile waacheni Chadema wakaribishe mtu wanayemtaka.

Kama CCM wanataka kufunga goli la mkono Chadema nao wanagoli lao la mkono ambalo linaweza lisiwapendeze wengi wakiwemo baadhi ya wana Chadema, lakini goli ni goli tu watakuja kutuelewa baadaye.

Kikubwa ni point tatu
 
..AKILI YA BINADAMU SIKU NI CHUKI;-

...."unawezaje kumwonea wivu mtu apendwaye na UMMA"
HAKIKA JAPO WIVU NI WA BINAADAM LAKINI NI VYEMA UKAWA NA MIPAKA""
tuoneane wivu katika mali na kadhalka,
usivuke mipaka mpk katika UPENDO,NAFSI, NK.
 
Hizo video hazitasaidia kitu watu hukosa na hutubu.

Chadema nao wanaweza kuleta ushahidi wa video ukionyesha Kikwete akimnadi Lowassa akisema Lowassa ni safi tena kamshika mkono juu.

Aisee nimekukubali
 
Nawashangaa sana wana CCM kwa wanavyosikia Lowasa anahamia Chadema ndio wanasema ni Fisadi mbona kabla hajakatwa jina lake walikuwa wanamtetea sana humu Jf Lowasa anawaumiza sana vichwa CCm
 
Teh Teh Dr.W.Slaa jitokeze hadharani utwambie utamfuta lini Lowasa kwenye orodha ya aibu?

Dr.W.Slaa naomba ujitokeze hadharani utwambie kama bado Lowasa ni fisadi au lah....

Mbona unahaha mkuu...kama hana madhara akihama si mtulie???kama ataiua chadema si ndio itakuwa furaha yenu magamba???sasa mbona unatokwa na povu kiasi hiki???
 
Last edited by a moderator:
Nawashangaa sana wana CCM kwa wanavyosikia Lowasa anahamia Chadema ndio wanasema ni Fisadi mbona kabla hajakatwa jina lake walikuwa wanamtetea sana humu Jf Lowasa anawaumiza sana vichwa CCm

Ccm sasa hivi wanatapatapa sana
 
Siasa za chadema ni za kitapeli na ulaghai! Leo hii fisadi papa kawahonga viongozi wa chadema bil 10 na ghafla fisadi mmembadili jina na kumuita Simba wa Yuda!!! lahaulaa! ama kweli fedha fedheha. Slaa atabaki kumrembulia macho tu Lowasa na kuanzia sasa siwaamini chadema kwa ishu yoyote matapeli wakubwa. Watu walijeruhiwa maandamanoni, wengine wamepoteza viungo kuijenga chadema eti wakiamini ndio mkombozi wao katika kupambana na ufisadi kumbe ilikuwa ni gia ya kusaka ulaji mnono toka kwa hao hao mafisadi! mmewakatisha tamaa watanzania wenye uchungu na nchi yao. Natangaza rasmi kuwa CHADEMA ni chama cha mafisadi.

Povu linakutoka bure, Chadema haijawahi kupambana na mtu bali mfumo wa ccm. Lowassa alikuwa mtu tu ndani ya ccm ndio maana alikatwa. By the way mbona wezi wa escrow etc bado mnao huko ccm? Mmewatosa?
 
Samia kufuli wataipata. Combination ya kwanza kufail maana sio chaguo haswa la watz
 
Hivi bavicha ile single yenu ya lowassa kumfadhili Zitto imeishia wapi? ama kweli kwenye udhia penyeza rupia tu, chama kiko kichwa juu miguu chini kisa pesa, wamesahau hata wanachopigania sasa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom