Lema: Nilipigiwa Simu na mtu kutoka serikalini

Unajua Ritz huwa analeta utani hadi kwenye masuala serious.
Utadhani hakumbuki kilichompata Imran Kombe mwaka 1995. Naye alikuwa akifuatiliwa hivihivi kama Lema kabla hajatandikwa risasi

Hakuna utani mtu yeyote makini mwenye kujitambua lazima apingane na hii stori hakuna mtu yeyote anayemfuatilia Lema ni porojo tu za siasa.
 
CCm na Twiga wetu.......tutakuja kuwamenya kama mayai ya kuchemshwa!!
41247_438609861224_104157016224_5149015_1077097_n.jpg

...Kidumu chama cha Mwampande....
 
"nilipigiwa simu na mtu mmoja kutoka serikalini akaniambia kuna gari nyuma inanifuatilia, nilipogeuka niliona na kusimama kisha nikashuka na kubadili gari na lenyewe likaendelea kunifuatilia," lema alidai kwamba hata juzi asubuhi alikutana nalo katika nyumba aliyofikia na alipolikaribia watu hao walishusha vioo na kumsalimu wakimwita ni mbunge wa arusha aliyeko kwenye likizo.

hakika mungu akisimama upande wako hakuna atakayepinga...
 
Ritz ndg yangu mbona we kichwa umiza? Anyway, anakuambia alipigiwa simu na mtu wa kwenye system, akaambiwa anawindwa, na kuna gari inamfuatilia kataja na namba ya gari, mpaka walipokutana nao wakamsalimia kinafiki.

achana na huyo Ritz sio kwamba hakuelewi anakuelewa ila anafanya makusudi kukukera umjibu vibaya ili ule BAN
 
Last edited by a moderator:
"Nilipigiwa simu na mtu mmoja kutoka serikalini akaniambia kuna gari nyuma inanifuatilia, nilipogeuka niliona na kusimama kisha nikashuka na kubadili gari na lenyewe likaendelea kunifuatilia," Lema alidai kwamba hata juzi asubuhi alikutana nalo katika nyumba aliyofikia na alipolikaribia watu hao walishusha vioo na kumsalimu wakimwita ni MBUNGE WA ARUSHA ALIYEKO KWENYE LIKIZO.

Hili jukwaa sasa inabidi libadilishwe jina. Liitwe jukwaa la uongo,udaku na umbea.
 
Ritz ndg yangu mbona we kichwa umiza? Anyway, anakuambia alipigiwa simu na mtu wa kwenye system, akaambiwa anawindwa, na kuna gari inamfuatilia kataja na namba ya gari, mpaka walipokutana nao wakamsalimia kinafiki.

mkuu Mungi usipoteze muda kubishana na vichwa ngumu na magamba! ni sawa na kuchemsha jiwe ukitarajia litaiva na kulainika kama kiazi au muhogo!
 
du unajitia aibu naona ukafunge...na le mutuz maana hamna mawazo ya kiume nenda kule kwa camoroon atakuzawadia mche
Hii stori ya kitoto kabisa kwa hiyo ndio katishiwa kuuliwa kwa kusalimiawa?
 
​kwa sisi tuliozaliwa na kukua kama wanaume tuna raha kuona mwanamme ambaye ana maumbile tofauti na mawazo yake naamini kigoli ni mwanmke na mwali ni mwanamke mwanamme inabidi uwe dume si vinginevyo
Hii stori ya kitoto kabisa kwa hiyo ndio katishiwa kuuliwa kwa kusalimiawa?
 
Toa sababu za msingi kuwa stori hiyo ni ya kitoto. usilete uamuzi wa kinjekitile. Gamba wewe

Hivi Lema hajawahi kupigiwa simu na watu wa serikalini? Mbona alivyokuwa anakutana watu wa serikalini kule Oysterbay akusema kama anataka kuuwawa?
 
Mimi nawashauri viongozi mnaotishiwa usalama vaeni camera kwenye miwani au kifuani ili muwe na kumbukumbu ya hawa watu. Ushauri huu pia kwa wanawafuata wajue watanaswa na kamera halafu vage litaanzishwa kiukweli.
 
"Nilipigiwa simu na mtu mmoja kutoka serikalini akaniambia kuna gari nyuma inanifuatilia, nilipogeuka niliona na kusimama kisha nikashuka na kubadili gari na lenyewe likaendelea kunifuatilia," Lema alidai kwamba hata juzi asubuhi alikutana nalo katika nyumba aliyofikia na alipolikaribia watu hao walishusha vioo na kumsalimu wakimwita ni MBUNGE WA ARUSHA ALIYEKO KWENYE LIKIZO.

:spy:Aisee mwanakwetu ugepiga picture na simu hawa watu. Wajaribu kama awataona tanzania kuwaka moto. WAO WAKO NA SERIKALI NA JESHI LAO LAKINI SISI TUNASEMA TUKO NA MUNGU YEHOVA YIREE WAJARIBU
 
Back
Top Bottom