Lema: Nilipigiwa Simu na mtu kutoka serikalini

Lema: Nilipigiwa Simu na mtu kutoka serikalini

rose muhando atasaidia single mpya! na watabeba tuzo za kill!
 
hata kudanganya huwezi. serikali.hiyohiyo ikuwinde halafu serikali hiyohiyo ukutaarifu kuwa kuna gari inakufatilia kwa nyuma..hujapona lema rudi hospital
Serikali inakupigia ili upate jazba urushe risasi wao wakumalize
 
"Chadema waache kutafuta umaarufu wa kisiasa" John Nchimbi.
 
hata kudanganya huwezi. serikali.hiyohiyo ikuwinde halafu serikali hiyohiyo ukutaarifu kuwa kuna gari inakufatilia kwa nyuma..hujapona lema rudi hospital

hoja dhaifu, kwani haiwezekani!
 
Inamaana banana lema anatembea an magari mawili iLi akiona la nyumba anashuka an kuingia lingine. Kweli akili ni kipilipili kila mtu anachake
 
Kwa wavivu wa kufikiri ni vigumu kuelewa kwanini SERIKALI INAYOTAKA KUKUUA IKUPIGIE SIMU KABLA YA TUKIO. Ni hivi....wanakuandaa ili na wewe utumie silaha/bastola yako kujilinda ili baadae ionekane ilikuwa ni piga
nikupige. Na hata kuweza kusema walihisi ni jambazi
 
Hata mie naiona nyepesi,,kimsingi siipendi ccm na idara zao zote,napenda mabadiliko yaanzie hata sasa tena ofcn hapa,lkn CDM wanapofikia hatua hii ya kuweweseka kwa kiwango hiki cha kuchuliana naanza kuchoka

Umechelewa sana 'kuanza kuchoka', wengine tulianza kuchoka pale waziri mkuu wa Tanzania alipotoa kauli kwamba "...Serikali itachukua hatua, liwalo na liwe...". Na tulichoka zaidi pale siku moja tu baada ya kauli hii, Dr. Ulimboka akatekwa na kuteswa sana. Sisi tunachoka kwa kauli za ki-fashisti ambazo zinafuatiwa na vitendo kamili kama hivi.
 
Sasa walishindwaje kumuuwa wangetaka kumuuwa? anaetaka kukuuwa anakusalimu?

Mambo mengine ya kijinga kabisa na mijitu inakubali tu.

Hapo unajifichua kabisa mwenyewe. Unaandika comments zako kama vile wewe ni mmoja wa hao wauwaji.
Hivi wewe unajuaje njia zilizopangwa kutumiwa na wauaji hao, yaani watekeleze uuwaji hou kwa risasi, sumu, ajali, mateso kama ya Dr. Ulimboka, n.k. UNAJUAJE mpaka useme kuwa kama walitaka kumuua wangemuua !! Ua unajua mpango mzima sasa unashangaa kwa nini mpango huo haujatimia ???
Hoa wauaji ni professional killers, hawaui ovyo, wanaua kwa kujificha ili kupoteza ushahidi, hawawezi kuua hadharani kama barabarani. Wanamfuatilia mtu mpaka wapate mahali panapofaa kwa udhalimu wao huo, ndio maana wanawafuatilia haou jamaa wa Chadema.
Au wewe hujui kuwa Dr. Ulimboka alifuatiliwa mpaka usiku sana ndio akatekwa. Kwa nini hakutekwa mchana kweupe ???
Usiandike comments ambazo zimakuvua nguo wewe mwenyewe !!!
 
Baba na mama hawa hapa

425570_202198443240309_231657704_n.jpg

Picha hii inanikumbusha ule msemo wa JK iliosema "...huwezi kula bila kuliwa..."
Halafu baadaye kidogo akasema "...sina maana hiyo...". Watu waliokuwepo wakacheka saaana.
 
Back
Top Bottom