Lema: Nilipigiwa Simu na mtu kutoka serikalini

Lema: Nilipigiwa Simu na mtu kutoka serikalini

Tuwe makini sana na kuwapa lift watu tusiojua mienendo yao ya kimaisha pamoja na hawa polisi. Pia kukubali kukutana na mtu usiyemjua kisa kakupigia simu.
 
"Nilipigiwa simu na mtu mmoja kutoka serikalini akaniambia kuna gari nyuma inanifuatilia, nilipogeuka niliona na kusimama kisha nikashuka na kubadili gari na lenyewe likaendelea kunifuatilia," Lema alidai kwamba hata juzi asubuhi alikutana nalo katika nyumba aliyofikia na alipolikaribia watu hao walishusha vioo na kumsalimu wakimwita ni MBUNGE WA ARUSHA ALIYEKO KWENYE LIKIZO.

Duuu kaazi kweli kweli
 
Tuwe makini sana na kuwapa lift watu tusiojua mienendo yao ya kimaisha pamoja na hawa polisi. Pia kukubali kukutana na mtu usiyemjua kisa kakupigia simu.

Point taken, especially those who criticize the Government in public
 
Hii stori ya kitoto kabisa kwa hiyo ndio katishiwa kuuliwa kwa kusalimiawa?

Hata mie naiona nyepesi,,kimsingi siipendi ccm na idara zao zote,napenda mabadiliko yaanzie hata sasa tena ofcn hapa,lkn CDM wanapofikia hatua hii ya kuweweseka kwa kiwango hiki cha kuchuliana naanza kuchoka
 
Utake kuuliwa ana nini hiyo ni hofu tu aliyo nayo au kutaka kuckika kwani cku nyingi alikuwa kimya au ndo wale walio shindwa na hoja ya bajeti sasa wanakuja na hoja ya kutaka kuuliwa ili waendelee kuwepo katika vyombo vya habari kwani ile opreshini ya vua gamba vaa gwanda imeishia wapi
 
Wapi kasema anaogopa, na wapi kasema wanataka Kumuua??
Tatizo la kwenda CHUO kabda ya Primary school.
Unajua Ritz huwa analeta utani hadi kwenye masuala serious.
Utadhani hakumbuki kilichompata Imran Kombe mwaka 1995. Naye alikuwa akifuatiliwa hivihivi kama Lema kabla hajatandikwa risasi
 
Nduli Idd Amin alianzisha style hiihii ya kuwateka,kuwanyanyasa na hatimaye kuwaua wale ambao walikuwa WAKITISHIA UTAWALA WAKE WA KIDIKTETA mara tu baada ya kuingia madarakani.

Serikali ya CCM imeanzisha utaratibu huohuo wa kuwateka,kuwanyanyasa na hatimaye kuwaua wale wote AMBAO KWA SASA WANAONEKANA NI TISHIO KWA UTAWALA WA KIIMLA,KIDIKTETA NA KIFISADI.

Matukio yafuatayo ya hivi karibuni yanaweka bayana nini kinachofanywa na CCM:

  1. Kutekwa na kuuawa kwa wanachama na wafuasi wa chama ccha CHADEMA wakti wa kampeni za chaguzi ndogo kule Igunga na Arumeru East.
  2. Kuuawa kwa kupigwa risasi watu wawili katika Jiji la Arusha mnamo tarehe 5 Januari,2011 waliokuwa kwenye maandamano ya amani ya CHADEMA.
  3. Tukio pia la kutekwa,kupigwa na kujeruhiwa vibaya kwa Dr.Ulimboka kwa kisingizio kuwa anaisumbua serikali na kwamba kuna nguvu iko nyuma yake ni mfululizo wa matukio ya kuonyesha kuwa CCM imeshindwa kuongoza nchi.
  4. Tuhuma zilizotolewa na Mwenyekiti Taifa-Mhe. Freeman Mbowe kuwa kuna njama zinasukwa za kuwa-ULIMBOKA yeye,Katibu Mkuu Taifa-Dr.W.slaa na Mbunge wa Ubungo Mhe.Mnyika zinazidi kukoleza moto.

Sasa basi kwa matukio haya yanayofanywa na UWT,Jeshi laPolisi,Jeshi na vyombo vingine vyote vya usalama ni dalili tosha kuwa CCM imeshikwa pabaya na upinzani hususan CHADEMA na inaenda kuporomoka na kuanguka kwa kishindo kikubwa kama alivyoishia Nduli idd Amin Dada. CCM hawana muda mrefu wa kutawala nchi hii hata kama watatumia mbinu gani. Tunajuwa wanatamba kwa kujidai kuwa CCM itaendelea kutawala tanzania milele katika hali hiihii mbaya tuliyonayo Watanzania! Mhe. Msigwa-Mbunge Iringa Mjini-CDM waliuliza wabubge wa CCM na Serikali yao,''CCM MTAENDELEA KUTAWALA MILELE,SO WHAT????"

Sijasikia Mbunge wa CCM wala Serikali yake akijibu swali hili.Pengine bado wanajipanga kujibu mapigo lakini ukweli unabaki palepale kuwa tutaendelea kuwauliza,kwamba WATAENDELEA KUTAWALA MILELE SO WHAT?
 
Hii stori ya kitoto kabisa kwa hiyo ndio katishiwa kuuliwa kwa kusalimiawa?

kama ilivyo ya kitoto hotuba ya JK kuwa hajua nani kamteka na kumuumiza Dr.Ulimboka
 
"Nilipigiwa simu na mtu mmoja kutoka serikalini akaniambia kuna gari nyuma inanifuatilia, nilipogeuka niliona na kusimama kisha nikashuka na kubadili gari na lenyewe likaendelea kunifuatilia," Lema alidai kwamba hata juzi asubuhi alikutana nalo katika nyumba aliyofikia na alipolikaribia watu hao walishusha vioo na kumsalimu wakimwita ni MBUNGE WA ARUSHA ALIYEKO KWENYE LIKIZO.

Sasa walishindwaje kumuuwa wangetaka kumuuwa? anaetaka kukuuwa anakusalimu?

Mambo mengine ya kijinga kabisa na mijitu inakubali tu.
 
Haujapata hiyo? Tunabishana na kilaza kama wewe unayetumia masaburi kuwaza kuliko kutumia kichwa,ama ndio hayo umeanza chuo kbl ya msingi?

Humu jamvini utabadili jina tu kama wale vilaza wenzio waliokimbia mchana kweupe!

Wewe kweli unachekesha mie nikukimbie wewe Chadema-Kata kwanza huna hoja umeishaanza kuandika viroja.
 
Wacha wauane manake kufa kufaana wengine watachukua nafasi zao
 
Kama una point vile.
Sasa walishindwaje kumuuwa wangetaka kumuuwa? anaetaka kukuuwa anakusalimu?

Mambo mengine ya kijinga kabisa na mijitu inakubali tu.
 
Back
Top Bottom