Acha utumwa wa kijinga kubwa bure wewe!
Tumia kichwa kufikiri ndio uje humu jamvini!
Lema, acha kulia lia wewe si kila siku unasema ugopi kufa wao wana pesa wewe una Mungu, kupigiwa simu tu unasema unataka kuuliwa...acha uoga Lema au umeamua kuja na singo mpya.
CCm na Twiga wetu.......tutakuja kuwamenya kama mayai ya kuchemshwa!!
![]()
Wakina Jack Nzoka wanatumia mtindo wa kizamani kuwafuatilia viongozi wa CDM ambao ni wajanja mara elfu moja kuliko wao ambao wamesoma Urusi na Al-haramainHii stori ya kitoto kabisa kwa hiyo ndio katishiwa kuuliwa kwa kusalimiawa?
CCm na Twiga wetu.......tutakuja kuwamenya kama mayai ya kuchemshwa!!
![]()
Hii stori ya kitoto kabisa kwa hiyo ndio katishiwa kuuliwa kwa kusalimiawa?
Zakitoto ni zile za kususia SensaYaani wewe ulivyokuwa na upeo mdogo unadhani wote tupo hivyo siwezi kuamini stori ya kitoto kama hii...
Hii stori ya kitoto kabisa kwa hiyo ndio katishiwa kuuliwa kwa kusalimiawa?
Yaani wewe ulivyokuwa na upeo mdogo unadhani wote tupo hivyo siwezi kuamini stori ya kitoto kama hii...
Ritz yuko sawa,hiyo stori ni ya kuwaambia mazuzu sio watu wenye akili....eti nimepigiwa simu..... ku si bullshiiiiiiit!!!!
Agiza Gahawa na kashata ili uweze kuangalia series zote ili usingizi usikuchukueHii ni Series mpya ndio kwanza tupo Episodes I ina Episodes 20.