Hiyo ndio kauli ya Lema baada ya kupata dhamana.
Mi najiuliza tu, hivi kuna mtu aliyewahi kufungwa kwa kosa la kutokula?? Kesi nyingine polisi wanaziandaaga ili kuwapa watu maujiko yasiyostahili tu.
Na wewe una uhakika kwamba hakusema?kwa hiyo wewe kuamini ni mpaka usikie wewe?kama ndivyo basi fasihi andishi ife tubaki na fasihi simulizi.Una uhakika.kama.alisema.hivyo? Haya aliyosema leo tumesikia wote na kina video clip, hayo ya juzi alisemea wapi? Tumwamini nani, Lema muhusika mwenyewe au wewe wa JF.
Tukiwajua tutawashitakiWalokole mbona hawashitakiwi?
Hiyo ndio kauli ya Lema baada ya kupata dhamana.
Mi najiuliza tu, hivi kuna mtu aliyewahi kufungwa kwa kosa la kutokula?? Kesi nyingine polisi wanaziandaaga ili kuwapa watu maujiko yasiyostahili tu.
[emoji35] [emoji35] [emoji35]Tukiwajua tutawashitaki
Ebu nipe faida moja waliyopata wanaArusha Mjini.Hakika amefunuliwa..ametumwa kuwakomboa wana Arusha na watanzania kwa ujumla
[emoji61] [emoji61][emoji35] [emoji35] [emoji35]
Kuwa wajasiri,kutokukata tamaa katika kutafuta haki na kujikomboa kiakili na kiuchumiEbu nipe faida moja waliyopata wanaArusha Mjini.