Mkuu Rais si ndie aliyesema tumuombee? Sasa Mh Lema anaomba inakuwa tabu tena, au ni wana ccm tu ndio wanatakiwa waombe?Alokwambia kuwa alikuwa anatuombea wana wa Arusha nani! Ye alikua anaombea wahisani wamuongezee posho kwa kuwa kakaa lockup.

vila...za ni wengi nchi hii kwahiyo usishangaeKafungwa kwa kugoma kula? au yeye mwenyewe kasusia msosi?
Nyumbu kila wanachoambiwa wanashangilia na kushabikia,kamanda uchwara anawapeleka anavyotaka,juzi alisema kasusa leo anasema kafunga.Mbona tangu juzi mnapiga kelele apelekewe chakula mara hali yake mbaya kwa njaa?
Wanapenda kula kuliko viwavi Jeshi.Hivi kada wa Ccm anaweza kukaa masaa bila kula?
H͢a͢h͢a͢a͢ y͢u͢p͢o͢ m͢z͢e͢e͢ w͢a͢ k͢u͢t͢e͢n͢g͢e͢n͢e͢z͢a͢ m͢o͢v͢i͢e͢s͢ z͢a͢ c͢c͢m͢ B͢o͢l͢l͢y͢w͢o͢o͢d͢.Hivi kada wa Ccm anaweza kukaa masaa bila kula?
Una uhakika.kama.alisema.hivyo? Haya aliyosema leo tumesikia wote na kina video clip, hayo ya juzi alisemea wapi? Tumwamini nani, Lema muhusika mwenyewe au wewe wa JF.Tutakosea kumuita mbunge huyu kigeu kigeu wa kauli?juzi alisema amesusa kula kwa kuwa kadhalilishwa,leo anasema alikuwa amefunga kuliombea taifa,moja ya sifa ya kamanda ni kuwa na kauli thabit....kuna umuhimu wa kamanda huyu kujipima kama anastahili kuitwa kamanda.
Yesu nabii na amepewa kitabu...Yesu hakula siku 40.
Alishitakiwa wapi?