Lema: Nilifunga kula kuliombea Taifa

Lema: Nilifunga kula kuliombea Taifa

Ududu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
1,020
Reaction score
556
Hiyo ndio kauli ya Lema baada ya kupata dhamana.

Mi najiuliza tu, hivi kuna mtu aliyewahi kufungwa kwa kosa la kutokula?? Kesi nyingine polisi wanaziandaaga ili kuwapa watu maujiko yasiyostahili tu.

Kafungwa kwa kugoma kula? au yeye mwenyewe kasusia msosi?
 
Hiyo ndio kauli ya Lema baada ya kupata dhamana.

Mi najiuliza tu, hivi kuna mtu aliyewahi kufungwa kwa kosa la kutokula?? Kesi nyingine polisi wanaziandaaga ili kuwapa watu maujiko yasiyostahili tu.

Kama kosa ni kutokula basi hata mm inabidi nipelekwe maakamani
 
kutokula sio kosa ila hilo ni jaribio la kutaka kujiua,akifia mahabusu?aligoma kula ili aumwe atolewe kule pabaya!hakuna grade ya juu wala ya chini mnakuwa sawa
 
Wanasiasa wa nchi hii ni comedians watupu.

No wonder comedy shows luningani zinadoda.
 
Back
Top Bottom