Lema: Nilifunga kula kuliombea Taifa

Lema: Nilifunga kula kuliombea Taifa

Amshukuru sana aliyempa mbinu hiyo ya kugoma kula, vinginevyo angeendelea kubaki mule😀😀!
Abaki ndani kwanini?hakupelekwa mahakamani eti amekataa kula ni haki yake kupelekwa acha mbwembwe wewe
 
Kama ni umaarufu kwa sababu ya kuzira chakula ameupata lakini matokeo yake ameona ndani ya muda mfupi. Siku hizi Mungu hakopeshi unalipwa hapohapo.

Ni upuuzi mtupu kusingizia Polisi kutokana na kuanguka kwake mahakamani. Anaipa tabu familia yake hasa mke wake kumuuguza ugonjwa wa kujitakia.

Mtu ambaye hajawahi kuthubutu kukosa hata chai tu ya asubuhi leo anazira chakula kwa siku tatu anategemea nini. Ni sauti kubwa aliyoitoa kuwafokea Polisi Mahakamani ndiyo iliyomfanya aishie pumzi kwa sababu ya njaa.

Iwe fundisho kwake kuinusuru familia yake na magonjwa yanayotokana na msongo wa mawazo.

IMG-20160829-WA0002.jpg

IMG-20160829-WA0001.jpg

IMG-20160829-WA0003.jpg
 
Kama ni umaarufu kwa sababu ya kuzira chakula ameupata lakini matokeo yake ameona ndani ya muda mfupi. Siku hizi Mungu hakopeshi unalipwa hapohapo.
Ni upuuzi mtupu kusingizia POLISI kutokana na KUANGUKA KWAKE MAHAKAMANI. Anaipa tabu familia yake hasa mke wake kumuuguza ugonjwa wa kujitakia.
Mtu ambaye hajawahi kuthubutu kukosa hata chai tu ya asubuhi leo anazira chakula kwa siku tatu anategemea nini. Ni sauti kubwa aliyoitoa kuwafokea Polisi Mahakamani ndiyo iliyomfanya aishie pumzi kwa sababu ya NJAA.
IWE FUNDISHO KWAKE KUINUSURU FAMILIA YAKE NA MAGONJWA YANAYOTOKANA NA MSONGO WA MAWAZO.
View attachment 390137
View attachment 390138
View attachment 390139
Wewe hutakufa, unajua siku yako itaishaje leo. UCCM unakusahaulisha ubinadamu!
 
Elimu tuliyokuwa tunaipata imekufanya hivi,je hii ya mwendokasi si ndio itamaliza hata kile cha asili?
 
Tujiepushe na viongozi watafta sifa,, tumuige ndg zitto ambaye anafanya maendeleo jimboni kwake halafu badae siasa,,
ni kiasi cha kuwa na utaratibu tu huwez kufanya samething kwa mwaka mzima
 
jamaa zake hawajajaa hospitali kamanda hata siku tano hajafika anakufa njaa halafu KAMANDA wa wapi? hivi vingine ni porojo maarifa tuu
 
Huyo mpuuzi atakuja kufaa kwa sifa zake za kijinga

Nimecheka mbavu sina.Halafu utakuta anavaa magwanda anajiita Kamanda.!!!!! Kamanda wa ukweli anaweza shinda siku tatu kwa njaa akaanguka kwa njaa????

Waache kudadia magwanda na kujiita makamanda.wawaachie makamanda wa UKweli.Mtu njaa ya siku tatu TU hadi analazwa na kuwekewa drip???? HA HA HA HA
 
Jambo moja ambalo hawa viongozi wanapaswa kulitambua ni hili.
Wamezoea kula vyakula kama chips, nyama choma na vyakula vingine vilivyo na mafuta kibao tena wanakula bila kuwa na mazoezi. Wanatoka kula wanapanda magari yenye vioyozi. Wanakunywa pombe za kila aina. Hivyo ndivyo wameizoeza miili yao.
Kitendo cha kulazimisha kubadili utaratibu ambao wameizoeza miili yao kwa sababu tu ya kutafuta umaarufu, kwa sababu tu ya kutaka kuonesha ni wababe hakika wanahatarisha maisha yao. Magonjwa kama pressure, kupooza, kisukari yanapenda kutegea binadamu abadili mtindo wa maisha ili yaingie. Sitashangaa kusikia ripoti ya Madaktari kuhusu kilichomsibu Lema inakuwa na matokeo kama hayo.
 
Back
Top Bottom