It is not what you know. It is what you can prove on Court that counts.Labda amefunga kupata kick na front page, anayefunga hajitangazi vilevile Tanzania tunahitaji maendeleo sio ukombozi
Sasa kama kaulizwaLabda amefunga kupata kick na front page, anayefunga hajitangazi vilevile Tanzania tunahitaji maendeleo sio ukombozi
Ya kuzira kula Au?what do you expext to get from a shabby police cell?usipokula chooni unafuata nini?vyoo tu vya nje pale central kama unaenda Traffic case vina( stink )pungent/chocking smell unatarajia nini kile cha mahabusu?Carpet?Inaonekana una experience sana
Kama kuna kufunga sasa badala ya ukuta si wafunge tu?au angeomba kama paulo na sila?Kama polisi wali tenda haki kumkamata Lema hili halina tatizo.
Lakini kama ni ile kufuata maelekezo kutoka juu, naona anguko na balaa kwa viongozi wengi wa serikali mkoani Arusha na kwingine.
Hakuna maombi mabaya kama ya kufunga halafu hiyo tuna sema funga kavu.
Sasa wasubirie akaitolee funga yake sadaka. Mtaniambia.
Naamini sana katika sala na mfungo.
Mbona tangu juzi mnapiga kelele apelekewe chakula mara hali yake mbaya kwa njaa?Hakika amefunuliwa..ametumwa kuwakomboa wana Arusha na watanzania kwa ujumla
Hawa jamaa wanachanganyana sana.Meya Kalist Lazaro alitudanganya nini?
Alituambia amegoma kula kupinga unyanyasaji wa polisi!!
Naona Chadema wamekuwa mbadala wa Ze comedy
Thubutuuuuu!Hivi kada wa Ccm anaweza kukaa masaa bila kula?
Thubutuuuuu!Hivi kada wa Ccm anaweza kukaa masaa bila kula?