MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,280
Bora yeye anatafuta KICK, wewe unatafuta DICK.Alikuwa anatafuta kick, anasahau kuwa wana arusha wanataka maendeleo hawataki kick za kijinga
Bora yeye anatafuta KICK, wewe unatafuta DICK.Alikuwa anatafuta kick, anasahau kuwa wana arusha wanataka maendeleo hawataki kick za kijinga
Siku za mwisho wataibuka manabii na Wachungaji wa uongo na Mungu atawaumbua tu. Mungu amemuumbua huyu Mchungaji wa uongo. YESU alifunga siku 40 akiomba, Lema siku tatu zimemwangusha, jana kuna mada ikiwekwa humu ikisema Lema ni pepo, naanza kuamini. Huyu siyo mtu wa Mungu.Kweli nyie mnaombeza lema ni machoko...mwenzenu kasema alikua amefunga anamuomba mungu nyie mnang'ang'ania kazira kula inawahusu nini?acheni kuingilia mambo binafsi kazi kuropokwa tuu...shenzy
Wewe siku Lowassa akifa basi hatukuoni humu tena maana ulikuwa naye kule CCM, leo uko naye CHADEMA, akifa na wewe utakufa humu jf.Bora yeye anatafuta KICK, wewe unatafuta DICK.
Mwanachadema Tajiri, Jitolee kujenga ofisi ya makao makuu, maana ni aibu mwaka wa 20 sasa mnapanga tu kwenye nyumba ya mwanzilishi wenu.Mungu mbariki Lema .
Kwani kunamtu anaejua nitadondoka kesho kuwa naakili ficiemKwanini asianguke siku zingine?
Meya Kalist Lazaro alitudanganya nini?
Alituambia amegoma kula kupinga unyanyasaji wa polisi!!
Naona Chadema wamekuwa mbadala wa Ze comedy
jamaa kila jambo wapo inconsistency.Hawa jamaa wanachanganyana sana.
Zitto yupi unayemzungumzia wewe?Hicho alichokifanya kubadilishana na Serukamba ndio maendeleo?Ukitaka kujua kwa nini walibadilishana majimbo ndio ungefahamu huu upuuzi unaosema hapa uko kinafki kabisaTujiepushe na viongozi watafta sifa,, tumuige ndg zitto ambaye anafanya maendeleo jimboni kwake halafu badae siasa,,
ni kiasi cha kuwa na utaratibu tu huwez kufanya samething kwa mwaka mzima
Kumbuka yesu hakuwa binadamu wa kawaida km ilivyo kwa lemaSiku za mwisho wataibuka manabii na Wachungaji wa uongo na Mungu atawaumbua tu. Mungu amemuumbua huyu Mchungaji wa uongo. YESU alifunga siku 40 akiomba, Lema siku tatu zimemwangusha, jana kuna mada ikiwekwa humu ikisema Lema ni pepo, naanza kuamini. Huyu siyo mtu wa Mungu.
Sasa kususa kula ndo kunasaidia nn kwa maisha wa wananchi au ww ndo mnafiki na kuwadi wa sidiemu??Zitto yupi unayemzungumzia wewe?Hicho alichokifanya kubadilishana na Serukamba ndio maendeleo?Ukitaka kujua kwa nini walibadilishana majimbo ndio ungefahamu huu upuuzi unaosema hapa uko kinafki kabisa
Hiyo ndio kauli ya Lema baada ya kupata dhamana.
Mi najiuliza tu, hivi kuna mtu aliyewahi kufungwa kwa kosa la kutokula?? Kesi nyingine polisi wanaziandaaga ili kuwapa watu maujiko yasiyostahili tu.
Hiyo ndio kauli ya Lema baada ya kupata dhamana.
Mi najiuliza tu, hivi kuna mtu aliyewahi kufungwa kwa kosa la kutokula?? Kesi nyingine polisi wanaziandaaga ili kuwapa watu maujiko yasiyostahili tu.
Ndio ushaambiwa alifunga ili akufanyie maombi!Meya Kalist Lazaro alitudanganya nini?