Amoxlin
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 3,781
- 4,118
Walokole mbona hawashitakiwi?Yesu nabii na amepewa kitabu...
Walokole mbona hawashitakiwi?Yesu nabii na amepewa kitabu...
wenye akili wamekuelewa mkuu"Nilifunga kuliombea taifa"… .Maneno matatu tu ila yana ubora mara 1000 zaidi wale wanaotokwa na povu humu ndani kwa kubeza ulichokisema najua sio level zako hivyo hutakiwi kuwajibu.
Hana lolote anatafuta umaarufu anajiuguza anamchezea Mungu ataugua tu maana Mungu humpa mtu anachokitakaKwavile uko ccm mmezoea kuishi kwa hisani,ukadhani kila mtu anaishi kwa hisani.
Mungu mlaani huyu anayejiuguza na augue kweliMungu mbariki Lema .
Meya Kalist Lazaro alitudanganya nini?
Alituambia amegoma kula kupinga unyanyasaji wa polisi!!
Naona Chadema wamekuwa mbadala wa Ze comedy
Tukikujua tunakushitakiMe nna cku ya tatu sili...cjui nitashtakiwa
Nyie si mnaomba kwa maandamanoMkuu Rais si ndie aliyesema tumuombee? Sasa Mh Lema anaomba inakuwa tabu tena, au ni wana ccm tu ndio wanatakiwa waombe?
Ukamanda wa kuandamanaTutakosea kumuita mbunge huyu kigeu kigeu wa kauli?juzi alisema amesusa kula kwa kuwa kadhalilishwa,leo anasema alikuwa amefunga kuliombea taifa,moja ya sifa ya kamanda ni kuwa na kauli thabit....kuna umuhimu wa kamanda huyu kujipima kama anastahili kuitwa kamanda.
Rudi shule kwanza ukajifunze kuandika ndiyo uje hapa.Una uhakika.kama.alisema.hivyo? Haya aliyosema leo tumesikia wote na kina video clip, hayo ya juzi alisemea wapi? Tumwamini nani, Lema muhusika mwenyewe au wewe wa JF.
Mbona kanisani tunatangaziwa kufanya mifungo kwa ajili ya mambo mbalimbali?Labda amefunga kupata kick na front page, anayefunga hajitangazi vilevile Tanzania tunahitaji maendeleo sio ukombozi
Kunyea debeYa kuzira kula Au?what do you expext to get from a shabby police cell?usipokula chooni unafuata nini?vyoo tu vya nje pale central kama unaenda Traffic case vina( stink )pungent/chocking smell unatarajia nini kile cha mahabusu?Carpet?
Na wewe rudi chekechea ukajifunze kuandika, hebu rudia kusoma ulichoandika! ..."kiandika ndiyo" ni kitu gani? Hakuna "ndiyo uje", kuna "ndio uje"!Rudi shule kwanza ukajifunze kiandika ndiyo uje hapa.
Asante kwa ushauri wako. Nikimaliza kijifunza kuandika nitakujulisha ili ujiridhishe kama kweli nimejua kuandika.Rudi shule kwanza ukajifunze kiandika ndiyo uje hapa.
Wewe punguani mwenye uwezo wa kuhukumu ni Mungu pekee.Mungu hasikilizi maombi ya mwenye dhambi akiyasikiliza ni maombi ya kuomba mungu amsamehe dhambi zake sio ya kuombea taifa lema asizuge
Kuna dhambi zinaonekana hata kama siyo mungu kwa mjibu wa maandiko Lema anatenda dhambi kwa kusema uongo.Wewe punguani mwenye uwezo wa kuhukumu ni Mungu pekee.