Lema: Nilifunga kula kuliombea Taifa

Lema: Nilifunga kula kuliombea Taifa

Nimecheka mbavu sina.Halafu utakuta anavaa magwanda anajiita Kamanda.!!!!! Kamanda wa ukweli anaweza shinda siku tatu kwa njaa akaanguka kwa njaa????

Waache kudadia magwanda na kujiita makamanda.wawaachie makamanda wa UKweli.Mtu njaa ya siku tatu TU hadi analazwa na kuwekewa drip???? HA HA HA HA

SIJUI ULISHASOMA SOMA LA BIOLOGY?? MWANAUME ANAUWEZO WA KUKAA SIKU NGAPI BILA KULA NA MWANAMKE ANAUWEZO WAKUKAA SIKU NGAPI BILA KULA, UKISHAJUA HILO USINGEANDIKA HICHO ULICHOKIANDIKA😳😳😳
 
[emoji15] [emoji15] i like!!
 
Kama ni umaarufu kwa sababu ya kuzira chakula ameupata lakini matokeo yake ameona ndani ya muda mfupi. Siku hizi Mungu hakopeshi unalipwa hapohapo.

Ni upuuzi mtupu kusingizia Polisi kutokana na kuanguka kwake mahakamani. Anaipa tabu familia yake hasa mke wake kumuuguza ugonjwa wa kujitakia.

Mtu ambaye hajawahi kuthubutu kukosa hata chai tu ya asubuhi leo anazira chakula kwa siku tatu anategemea nini. Ni sauti kubwa aliyoitoa kuwafokea Polisi Mahakamani ndiyo iliyomfanya aishie pumzi kwa sababu ya njaa.

Iwe fundisho kwake kuinusuru familia yake na magonjwa yanayotokana na msongo wa mawazo.

View attachment 390137
View attachment 390138
View attachment 390139
Wewre utaishi MILELE
 
Halafu ma-ccm wakifa tukishangilia mnanuna.
 
Elimu....elimu....elimu...ndo tatizo!nilishawah kusema....Arusha city wamefanya kosa kubwa la kuchagua mbunge kama huyu.....usanii wa kitoto kabisa ili ajipatie umaarufu wa kijinga!hakuzimia wala nini....alikua na nguvu zake tele....aliongea kwa jazba kama alivyoonekana na kwa kuwa camera zilikuwepo pale akaona ngoja amalizie maigizo yake....check hizo picha....mtu aliyezimia kwa njaa kali muda mfupi anaongea na vyombo vya habari akiwa kitandani[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]....tena usikute aliwaita waingie chumbani wamhoji[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] bure kabisa!nyumbu kama walivyoandaliwa walimbeba msanii....mbavu zangu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
safari hii wapinzani mtaipata. kama kuna upinzani uchwara utajiondoa wenyewe automatic...
 
Halafu ma-ccm wakifa tukishangilia mnanuna.
Nyie mnshangilia vifo ambavyo vimepangwa na Mungu. Vifo vya kushangilia ni kama vya kujitakia mfano kama Lema angekufa jana kwa sababu ya njaa ya kujitakia hilikuwa haki yako Kula bata
 
Lema kula bhana;
unataka uwaachie wenzio huyo mwanamke mzuri hivyo;
na watoto wako unataka waanze kusundwa vidole;
 
Kama ni umaarufu kwa sababu ya kuzira chakula ameupata lakini matokeo yake ameona ndani ya muda mfupi. Siku hizi Mungu hakopeshi unalipwa hapohapo.

Ni upuuzi mtupu kusingizia Polisi kutokana na kuanguka kwake mahakamani. Anaipa tabu familia yake hasa mke wake kumuuguza ugonjwa wa kujitakia.

Mtu ambaye hajawahi kuthubutu kukosa hata chai tu ya asubuhi leo anazira chakula kwa siku tatu anategemea nini. Ni sauti kubwa aliyoitoa kuwafokea Polisi Mahakamani ndiyo iliyomfanya aishie pumzi kwa sababu ya njaa.

Iwe fundisho kwake kuinusuru familia yake na magonjwa yanayotokana na msongo wa mawazo.

View attachment 390137
View attachment 390138
View attachment 390139
Yale yalikuwa maigizo ya kutaka kick kwa wanahabari ili aonewe huruma
 
SIJUI ULISHASOMA SOMA LA BIOLOGY?? MWANAUME ANAUWEZO WA KUKAA SIKU NGAPI BILA KULA NA MWANAMKE ANAUWEZO WAKUKAA SIKU NGAPI BILA KULA, UKISHAJUA HILO USINGEANDIKA HICHO ULICHOKIANDIKA😳😳😳
Mwanaume siku 42 na mwanamke siku 50. Si uliwaona wale wa Kahama waliofunikwa kwenye machimbo?
 
Kweli nyie mnaombeza lema ni machoko...mwenzenu kasema alikua amefunga anamuomba mungu nyie mnang'ang'ania kazira kula inawahusu nini?acheni kuingilia mambo binafsi kazi kuropokwa tuu...shenzy
 
Yale yalikuwa Maigizo, aliendelea kutwanga Msosi kama kawaida na ndio sababu Polisi hawakumfungulia kesi ya kujaribu kujiua.

Mtu aliekaa bila ya kula siku tatu haiwezekani akaanza kupata nguvu ya kupigana na Askari Magereza kupinga kurudishwa rumande
 
Nyie mnshangilia vifo ambavyo vimepangwa na Mungu. Vifo vya kushangilia ni kama vya kujitakia mfano kama Lema angekufa jana kwa sababu ya njaa ya kujitakia hilikuwa haki yako Kula bata
Vifo vya maccm ni kutokana na kuvimbiwa ulafi wa kodi na dhuluma wanaziwafanyia watz acha kumsingizia mungu kuhusu vifo vya macc.
 
Back
Top Bottom