Nduka
JF-Expert Member
- Dec 3, 2008
- 8,552
- 2,360
wakati wa mlipuko huo kijana huyo alikuwa gerezani kwa kesi nyingine..
Hivi mnashindwa kumshauri huyo bwana yenu hizi connection zake za zamani aachane nazo?
wakati wa mlipuko huo kijana huyo alikuwa gerezani kwa kesi nyingine..
upuuzi mtupu, kijana yupo tayari kutoa ushahidi bungeni kwani yeye ni mbunge?? kwani bunge ni mahakama?? ujinga mtupu, ni show off isiyokuwa na maana yoyote wala tija kwa watz
JF siyo sehemu ya porojo mkuu weka ushahidi wa jina la huyo kijana.Yupo kijana ambaye kwa zaidi ya miezi minne amekuwa katika mikono ya Polisi Shinyanga,Mwanza na Arusha akiteswa na kudhalilishwa huku akilazimishwa aseme Lema ndiye aliyemtuma kulipua bomu la Kanisani Arusha na pale kwenye Mkutano wa Soweto. Pamoja na kuteswa sana kijana huyu alikataa katakata mpango huo. Hadi Polisi walipogungua kuwa tarehe hizo mtuhumiwa wao alikuwa mahabusu kwa kesi nyingine ndio wakamuachia juzi.
swali la Nassari lilikuwa jee ni jukumu l serikali kubambika kesi raia wema? Kakosa jibu na Lema alipotaka kuuliza Makinda kasema anataka swali jipya naye kamjibu " siwezi uliza jipya maana nina mshtuko kwa vile mmetaka kuniua na sasa mnataka kunipa kesi ya mauaji "
AIBU YA SERIKALI NI KUWA HUYO MTUHUMIWA LEO YUPO HAPO BUNGENI KWENYE VISITORS GALLARY NA YUKO TAYARI KUSEMA YOTE MBELE YA WAZIRI MKUU. STAY TUNED KUJUA NINI KITATOKEA BAADAE.
mbona wameweweseka tu mkuu, lipi la maana waliloongea
Mkuu hata elimu, afya na uchumi ni siasa, panua akili kidogo utaelewa..Tunaelekea pazuri sasa,watu kuwajibika ka kauli na matendo yao!!!!!
Watanue wigo mpaka elimu,afya na uchumi sio kukomalia siasa tu!!!!
Bravo kwa hili
Polisi hawafanyi kazi kwa mapenzi yako wewe au ya Mbowe, wanafanya kazi kwa utaratibu wao, mnatuma watu wanalipuwa mabomu halafu mnatafuta huruma.Mwigullu hawezi kuchomoka kwenye hili! Kama poli-ccm wangekuwa makini walitakiwa wawe wamesha mkamata yeye na Nape kwa kauli zao za kuashiria mauwaji siku moja kabla ya mauwaji yenyewe.
Mtu yotote makini ataunganisha nukta na kuona ushiriki wa ccm kwenye kulipua bomu. Kwani hata wakisema wana kana kuwa hawaja lipua halafu tukalinganisha ripoti ya serikali iliyofichwa juu ya mauwaji ya Januari 5 wataweza kurukia wapi wakati ripoti imesema kabisa kuwa polisi walihusika na walidhamiria kuuwa?!!
Polisi hawafanyi kazi kwa mapenzi yako wewe au ya Mbowe, wanafanya kazi kwa utaratibu wao, mnatuma watu wanalipuwa mabomu halafu mnatafuta huruma.
siasa za kuwauwa watu ni siasa za kupingwa kwa nguvu zote,killing innocent peple ni siasa za kishamba sana
mbona wameweweseka tu mkuu, lipi la maana waliloongea
JF siyo sehemu ya porojo mkuu weka ushahidi wa jina la huyo kijana.
JF siyo sehemu ya porojo mkuu weka ushahidi wa jina la huyo kijana.
Hawakujipanga kuwasilisha hoja zao, nimewasikiliza, wanaonekana hawana mshauri. Nassary hajui kutofautisha kati ya swali, maelezo au hotuba. Waziri Mkuu kashindwa amjibuje, Lema naye kapewa nafasi ya kuongea akaanza kumwaga pumba zake, Ikabidi Spika amkatishe. Kanuni za Bunge ni Janga la kitaifa kwa wabunge wengi wa CHADEMA.