Lema na Nassary Walitikisa Bunge kipindi cha Maswali kwa Waziri Mkuu..

upuuzi mtupu, kijana yupo tayari kutoa ushahidi bungeni kwani yeye ni mbunge?? kwani bunge ni mahakama?? ujinga mtupu, ni show off isiyokuwa na maana yoyote wala tija kwa watz

Kumbuka baada ya matukio ya kulipuka mabomu Taarifa ya serikali ilisomwa bungeni! Kwahiyo na Hawa wako sawa kutoa Hiyo Taarifa na pia Bunge ni sehemu ya kujadili mambo mengi na Hilo lokiwepo!
 
upuuzi mtupu, kijana yupo tayari kutoa ushahidi bungeni kwani yeye ni mbunge?? kwani bunge ni mahakama?? ujinga mtupu, ni show off isiyokuwa na maana yoyote wala tija kwa watz

Mfuasi wa Chakavu at work. Kwa hiyo jana mume wenu Mwigulu alikuwa anamshtaki Mbowe kwa nani?
 
Baada ya mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema kukoswakoswa na bomu la soweto yeye na Mwenyekiti wa chadema Freeman Mbowe na kuua watanzania wanne. Sasa jeshila polisi liko kwenye harakati za kumubambikia Mhe. Lema kuwa yeye ndiyo aliye tuma mtu kwenda kulipua bomu bahati mbaya sana kwa CCM na jeshi lake na bahati mzuri Kwa mhe. Lema na Chadema ni kuwa kijana huyo pamoja na puminywa mapumbu aligoma kabisa kusema/kutenda dhambi hiyo licha ya kwamba kijana huyo alitumwa na Lema na akawaambia wakati wa mlipuko huo kijana huyo alikuwa gerezani kwa kesi nyingine..Ndipo jeshila polisi kwa aibu wakamwachia kijana huyo kwasasa yuko bungeni na alikuwa tayari kutoa maelezo hayo.

Huyu dogo atakuwa mdogo wake JOYCE MUKYA
 
Kijana yupo Bungeni aliyeteswa na kulazimasha amtaje Lema, alivumilia mateso yote kwasabau yakuoigania haki!
 
Lema hajabambikiwa Polisi wana ushahidi na ushiriki wake katika kulipua BOMU soweto, ni suala la muda tu, kila kitu kitawekwa hadharani, Msifanye watanzania ni wajinga.

Kwa hiyo Jeshi la Polisi liko chini ya Me. Lema...
 
Mwigullu hawezi kuchomoka kwenye hili! Kama poli-ccm wangekuwa makini walitakiwa wawe wamesha mkamata yeye na Nape kwa kauli zao za kuashiria mauwaji siku moja kabla ya mauwaji yenyewe.

Mtu yotote makini ataunganisha nukta na kuona ushiriki wa ccm kwenye kulipua bomu. Kwani hata wakisema wana kana kuwa hawaja lipua halafu tukalinganisha ripoti ya serikali iliyofichwa juu ya mauwaji ya Januari 5 wataweza kurukia wapi wakati ripoti imesema kabisa kuwa polisi walihusika na walidhamiria kuuwa?!!

Uliona povu jingi alilotoa Mwigulu kabla ya sakata hilo bungeni alipotafuta pa kujishikiza kumshinikiza Mbowe, bado utelezi unaendelea atakuja angukia pua soon.
 
huyo shahidi akafichwe mbaali maana nahisi masaa yake yanahesabika
 
997008_786522868030329_2041137907_n.jpg

Huyu ndie Mwalimu!
 
Polisi hawafanyi kazi kwa mapenzi yako wewe au ya Mbowe, wanafanya kazi kwa utaratibu wao, mnatuma watu wanalipuwa mabomu halafu mnatafuta huruma.

Polisi wanafanya kazi kwa maagizo ya ccm ndio maana hata mwenyekiti wenu aliwaonya kule Dodoma akiwa anahutubia wajumbe wa kamati kuu! Kama hukumbuki ngoja nikukumbushe kauli ya mwenyekiti wako. Alisema..

" Na nyinyi muache kuwatumia Polisi kuwasaidia kukabiliana nguvu ya upinzani, jibuni hoja..." nguvu ya upinzani aliyokuwa anaiongelea ni nguvu ya chadema baada ya kuanzishwa M4C ambapo ndio polisi walishamiri kwa kuuwa raia ili wananchi waogope kuja kwenye mikutano ya chadema.

Kama hukumbuki kauli hiyo ilitoka huku tayari alikuwa amesha uwawa Ally Zona na Daud Mwangosi ambao wote vifo vyao vimetokana na polisi waliokuwa wanazuia shughuli halali za kisiasa za chadema.

Kwa akili ya kawaida kabisa utasema polisi wamekuwa wanatumwa na nani kama amiri jeshi mkuu anawaonya ccm kuacha kutumia polisi?!!
 
Haki ya nani hili lichama chakavu masisiem pamoja na mizigo pinda wakiongizwa na bwana dhaifu siku zao zinahesabika!!!!
 
Yaani ndo siku imeingia hapo na posho wanapokea,wanasiasa wa Tanzania,hawaish vituko,pale bungeni pale.....wacha wakenya watuchore tu
 
heading ya thred hii ingepaswa iwe; nasari akumbatia ugaidi na kufanya show off ya mtuhumiwa wa ugaidi bungeni, lema ashindwa kuuliza swali kwa waziri mkuu,aweweseka na kujitetea.
mbona wameweweseka tu mkuu, lipi la maana waliloongea
Hakuna walichotikisa mbona, hilo swali wameambiwa waandike kwa maandishi sio wanabwabwaja tu kama wameshapiga gongo zao asubui.
hakuna rangi mtaacha kuona mwaka huu, mtaota na majibu hadi mindukni kwa njaa maana nasikia bosi wenu anapuguza posho toka buku 7 hadi buku 3 tu ya nauli.
 
ccm kwa kushirikiana na mwigulu huratibu fujo kwa cdm. Na pia humtumia shehe Ilunga kwa upande wa viongozi wa dini hasahasa mapadri na.wale.mashehe wa zbar ambao ni antibakwata
 
Back
Top Bottom