Lema na Nassary Walitikisa Bunge kipindi cha Maswali kwa Waziri Mkuu..

ccm kwa kushirikiana na mwigulu huratibu fujo kwa cdm. Na pia humtumia shehe Ilunga kwa upande wa viongozi wa dini hasahasa mapadri na.wale.mashehe wa zbar ambao ni bakwata(ambao hawana msimamo mkali)
 
Hakuna walichotikisa mbona, hilo swali wameambiwa waandike kwa maandishi sio wanabwabwaja tu kama wameshapiga gongo zao asubui.
hiyo ni nmana ya kukwepa kujibu swali,kwani likiandikwa ndio litabadilika kna kuwa swali jepesi?au likiandikwa ndio litaeleweka kwa urahisi?likiandikwa ndo inakuwaje sasa!hapo kakwepa kujibu swali kwa kuwa limewagusa kwenye mfupa
 
Kitendo cha Lema na Nasar kuibua ngonjera ya kila siku kuwa bomu la Arusha

Kililenga kupotezea kashifa ya Mbowe kwenda kutalii Dubai na pesa za umma

Acheni kutuchezea akilizetu nyie Chadema
 
Baada ya mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema kukoswakoswa na bomu la soweto yeye na Mwenyekiti wa chadema Freeman Mbowe na kuua watanzania wanne. Sasa jeshila polisi liko kwenye harakati za kumubambikia Mhe. Lema kuwa yeye ndiyo aliye tuma mtu kwenda kulipua bomu bahati mbaya sana kwa CCM na jeshi lake na bahati mzuri Kwa mhe. Lema na Chadema ni kuwa kijana huyo pamoja na puminywa mapumbu aligoma kabisa kusema/kutenda dhambi hiyo licha ya kwamba kijana huyo alitumwa na Lema na akawaambia wakati wa mlipuko huo kijana huyo alikuwa gerezani kwa kesi nyingine..Ndipo jeshila polisi kwa aibu wakamwachia kijana huyo kwasasa yuko bungeni na alikuwa tayari kutoa maelezo hayo.

dah! Yaani wameshau methali hakuna mwanzo usio na mwisho au ukiwa mwongo daima uongo wako. Mtu yuko lupango at the same time akalipue bomu. Asanteni sana kwa kutumia muda wa kupeleleza mwenendo wa huyo kijana hadi kujua siku husika alikuwa wapi
 
Mods Inakuaje Mnaruhusu Watu Wanaandika Lolote Tu Bila Analysation Yoyote? Hii Inashusha Hadhi Ya Forum.. Ni Sawa Na Facebook.
 
Mods. msipochukua hatua kuachia uchafu huu humu jukwaani , sifa ya jukwaa itapotea kabisa ! ni watu wale wale wanajulikana kutoa pumba alafu hawafungiwe au post kufutwa tumechoshwa na ujinga wao, mtu akiona heading anajua kuna kitu cha maana kimeandikwa kufungua utakuta ovyo kabisa.

Mods chukueni hatua kwa hali hii
 
JF siyo sehemu ya porojo mkuu weka ushahidi wa jina la huyo kijana.

Ritz wewe unataka jina lake la nini?si umeambiwa yuko bungeni?wangeruhusu tu Lema aulize swali lake na awaambie uhalisia wa kile serikali inapanga kumdhuru,lkn aibu kwenu maana issue imebumbuluka.
 
Chadema wanaleta utoto na usanii,wao si wanasema mahakama ya haki ni Umma,kwanini mkanda wa bomu la Arusha uwekwi wazi kwa Umma,ili tuone
 
Nini kashfa zaidi kati ya Mbowe kufuja pesa na CCM kurusha bomu Arusha na kuua watu?
 
huku bana mtu wa ccm akileta upuuziwa kama nchemba hautolewi lakini ikitokea mtu mpenda amani anapost kitu utashangaa wana imove uharo huu wa chemba hapa jf nisehemu tunapopaheshimu sana msilete mambo kama za bunge na kina ndugai
 
Wa Ukenyenge habari mkuu,umenikumbusha moja ya hotuba ya mwalimu miaka ya sabini hivi.Wasalimie Negezi kwao marehemu Bob Nyanga Makani.uwasalimie pia pale Wila mission.

Asante Mkuu!
 
Mods. msipochukua hatua kuachia uchafu huu humu jukwaani , sifa ya jukwaa itapotea kabisa ! ni watu wale wale wanajulikana kutoa pumba alafu hawafungiwe au post kufutwa tumechoshwa na ujinga wao, mtu akiona heading anajua kuna kitu cha maana kimeandikwa kufungua utakuta ovyo kabisa.

Mods chukueni hatua kwa hali hii

report the post.
 
Nimesoma lakin nimeshindwa kuona JE LEMA ALIKUWA ANAULIZA NINI HAPO KWA PM? yaani amwite huyo kijana hapo Bungeni na kuleta malalamiko yake mbele ya wabunge? je muda huo upo? Au swali lake katika kadhia hiyo ni nini? na alitaka PM amjibu nini?

Naomba ufafanuzi ahali zangu.
 
Lema kama alitaka kuuwawa na ushahidi wa waliotaka kumuua anao. Kwanini haendi mahakamani? Lema aache kusumbua akili za watu. Tuna mambo mengi ya kufanya zaidi ya kujadili huu utoto wa Chadema.
 
Hivi Pinda kweli ni kiongozi mkuu wa serikali?anashindwaje kujibu swali ambalo ushahidi upo mbele yake?du! Serikali hii ni janga kwa Taifa.

Serikali ya mizigo inayoongozwa na mizigo. ha ha ha ha ha ha ha....
 
Back
Top Bottom