Lema na Nassary Walitikisa Bunge kipindi cha Maswali kwa Waziri Mkuu..

utaifakwanza

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
14,198
2,000
Swala la Mabomu ya Soweto na Olasit laibuka tena bungeni, baada ya Kijana aliyebambikizwa kesi na kuteswa akilazimishwa kumtaja Lema kuwa ndo aliyemtuma kulipua mabomu hayo! Kijana yupo Bungeni tayari kumwaga ushahidi wake. Waziri mkuu amekosa majibu asema wampelekee katika maandishi.
upuuzi mtupu, kijana yupo tayari kutoa ushahidi bungeni kwani yeye ni mbunge?? kwani bunge ni mahakama?? ujinga mtupu, ni show off isiyokuwa na maana yoyote wala tija kwa watz
 
Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,194
2,000
mbona wameweweseka tu mkuu, lipi la maana waliloongea
Baada ya mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema kukoswakoswa na bomu la soweto yeye na Mwenyekiti wa chadema Freeman Mbowe na kuua watanzania wanne. Sasa jeshila polisi liko kwenye harakati za kumubambikia Mhe. Lema kuwa yeye ndiyo aliye tuma mtu kwenda kulipua bomu bahati mbaya sana kwa CCM na jeshi lake na bahati mzuri Kwa mhe. Lema na Chadema ni kuwa kijana huyo pamoja na puminywa mapumbu aligoma kabisa kusema/kutenda dhambi hiyo licha ya kwamba kijana huyo alitumwa na Lema na akawaambia wakati wa mlipuko huo kijana huyo alikuwa gerezani kwa kesi nyingine..Ndipo jeshila polisi kwa aibu wakamwachia kijana huyo kwasasa yuko bungeni na alikuwa tayari kutoa maelezo hayo.
 
MWANAKA

JF-Expert Member
Oct 4, 2013
4,176
2,000
arusha mambo FM vipi mbona hampatikani kwenye mtandao
Tunalikosa bunge hivihivi aise ...!
 
Umkondo wa Swize

JF-Expert Member
Dec 29, 2012
283
0
Swala la Mabomu ya Soweto na Olasit laibuka tena bungeni, baada ya Kijana aliyebambikizwa kesi na kuteswa akilazimishwa kumtaja Lema kuwa ndo aliyemtuma kulipua mabomu hayo! Kijana yupo Bungeni tayari kumwaga ushahidi wake. Waziri mkuu amekosa majibu asema wampelekee katika maandishi.
Magamba wauaji wakubwa
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
34,429
2,000
Yupo kijana ambaye kwa zaidi ya miezi minne amekuwa katika mikono ya Polisi Shinyanga,Mwanza na Arusha akiteswa na kudhalilishwa huku akilazimishwa aseme Lema ndiye aliyemtuma kulipua bomu la Kanisani Arusha na pale kwenye Mkutano wa Soweto. Pamoja na kuteswa sana kijana huyu alikataa katakata mpango huo. Hadi Polisi walipogungua kuwa tarehe hizo mtuhumiwa wao alikuwa mahabusu kwa kesi nyingine ndio wakamuachia juzi.
swali la Nassari lilikuwa jee ni jukumu l serikali kubambika kesi raia wema? Kakosa jibu na Lema alipotaka kuuliza Makinda kasema anataka swali jipya naye kamjibu " siwezi uliza jipya maana nina mshtuko kwa vile mmetaka kuniua na sasa mnataka kunipa kesi ya mauaji "
AIBU YA SERIKALI NI KUWA HUYO MTUHUMIWA LEO YUPO HAPO BUNGENI KWENYE VISITORS GALLARY NA YUKO TAYARI KUSEMA YOTE MBELE YA WAZIRI MKUU. STAY TUNED KUJUA NINI KITATOKEA BAADAE.
 
utaifakwanza

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
14,198
2,000
heading ya thred hii ingepaswa iwe; nasari akumbatia ugaidi na kufanya show off ya mtuhumiwa wa ugaidi bungeni, lema ashindwa kuuliza swali kwa waziri mkuu,aweweseka na kujitetea.
 
MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
Oct 13, 2013
18,946
2,000
Hawakujipanga kuwasilisha hoja zao, nimewasikiliza, wanaonekana hawana mshauri. Nassary hajui kutofautisha kati ya swali, maelezo au hotuba. Waziri Mkuu kashindwa amjibuje, Lema naye kapewa nafasi ya kuongea akaanza kumwaga pumba zake, Ikabidi Spika amkatishe. Kanuni za Bunge ni Janga la kitaifa kwa wabunge wengi wa CHADEMA.
 
MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
Oct 13, 2013
18,946
2,000
Baada ya mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema kukoswakoswa na bomu la soweto yeye na Mwenyekiti wa chadema Freeman Mbowe na kuua watanzania wanne. Sasa jeshila polisi liko kwenye harakati za kumubambikia Mhe. Lema kuwa yeye ndiyo aliye tuma mtu kwenda kulipua bomu bahati mbaya sana kwa CCM na jeshi lake na bahati mzuri Kwa mhe. Lema na Chadema ni kuwa kijana huyo pamoja na puminywa mapumbu aligoma kabisa kusema/kutenda dhambi hiyo licha ya kwamba kijana huyo alitumwa na Lema na akawaambia wakati wa mlipuko huo kijana huyo alikuwa gerezani kwa kesi nyingine..Ndipo jeshila polisi kwa aibu wakamwachia kijana huyo kwasasa yuko bungeni na alikuwa tayari kutoa maelezo hayo.
Lema hajabambikiwa Polisi wana ushahidi na ushiriki wake katika kulipua BOMU soweto, ni suala la muda tu, kila kitu kitawekwa hadharani, Msifanye watanzania ni wajinga.
 
Malafyale

JF-Expert Member
Aug 11, 2008
12,978
2,000
upuuzi mtupu, kijana yupo tayari kutoa ushahidi bungeni kwani yeye ni mbunge?? kwani bunge ni mahakama?? ujinga mtupu, ni show off isiyokuwa na maana yoyote wala tija kwa watz
Kama hujui taratibu za mabunge ya Jumuia ya madola ni vyema ungeuliza kuliko kuandika uharo hapa!

Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Bunge au kamati yyt ya Bunge ina uwezo kisheria kumhoji mtu yyt yule na ripoti yake inaweza ikatumika Mahakamani!

Madai ya Lema yamejikita kwenye uwezo huo wa kikamati!
 
Mbanyitege

Senior Member
Jul 2, 2013
179
170
lema na nasari ni mwiba mchungu kwani leo bungeni wametimba ndani ya bunge na ushaidi wa mtu alitekwa na kulazimishwa na vyombo vya usalama ili wamtaje kamanda lema kuwa ndiye aliyiyepanga mauaji ya soweto na olasiti lkn kwa bahati mbaya mama makinda kamkingia kifua waziri mkuu kuwa nasari kisha uliza lkn kiukweli alema alikta anajenga hoja ya swali kwa maelezo ya nasari ki ukweli kadri siku zinavyokwenda serikali ya ccm itaumbuka sana
 
AdvocateFi

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
11,515
2,000
Lema hajabambikiwa Polisi wana ushahidi na ushiriki wake katika kulipua BOMU soweto, ni suala la muda tu, kila kitu kitawekwa hadharani, Msifanye watanzania ni wajinga.
Upeo mdogo wa kufikiri ndiyo uliorithi kwa mamaco.
 
Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
42,258
2,000
Swala la Mabomu ya Soweto na Olasit laibuka tena bungeni, baada ya Kijana aliyebambikizwa kesi na kuteswa akilazimishwa kumtaja Lema kuwa ndo aliyemtuma kulipua mabomu hayo! Kijana yupo Bungeni tayari kumwaga ushahidi wake. Waziri mkuu amekosa majibu asema wampelekee katika maandishi.
Wamelitikisa vipi bunge hapo labda wenzangu wameelewa zaidi yangu.
 
Malafyale

JF-Expert Member
Aug 11, 2008
12,978
2,000
Lema hajabambikiwa Polisi wana ushahidi na ushiriki wake katika kulipua BOMU soweto, ni suala la muda tu, kila kitu kitawekwa hadharani, Msifanye watanzania ni wajinga.
Uharo ungine huu!Njaa ikiingia kwenye maamuzi ya fikra uzaa utaahira!
 
Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
42,258
2,000
Baada ya mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema kukoswakoswa na bomu la soweto yeye na Mwenyekiti wa chadema Freeman Mbowe na kuua watanzania wanne. Sasa jeshila polisi liko kwenye harakati za kumubambikia Mhe. Lema kuwa yeye ndiyo aliye tuma mtu kwenda kulipua bomu bahati mbaya sana kwa CCM na jeshi lake na bahati mzuri Kwa mhe. Lema na Chadema ni kuwa kijana huyo pamoja na puminywa mapumbu aligoma kabisa kusema/kutenda dhambi hiyo licha ya kwamba kijana huyo alitumwa na Lema na akawaambia wakati wa mlipuko huo kijana huyo alikuwa gerezani kwa kesi nyingine..Ndipo jeshila polisi kwa aibu wakamwachia kijana huyo kwasasa yuko bungeni na alikuwa tayari kutoa maelezo hayo.
Kamanda tulizana acha jeshi la polisi lifanye kazi yake si mlikuwa mnalalamika kuwa serikali imelitupa suala la Arusha.
 
Top Bottom