Lema na Nassary Walitikisa Bunge kipindi cha Maswali kwa Waziri Mkuu..


M

Mudhakiru

Senior Member
Joined
Jun 14, 2011
Messages
175
Points
0
M

Mudhakiru

Senior Member
Joined Jun 14, 2011
175 0
Wabunge wetu Nassari na Lema tunawaamini tumewatuma kutuwakilisha na mnafanya kazi yenu vizuri?
Kama kweli Lema ana ushahidi wa bomu la SOWETO mbona hakuuweka wazi bungeni badala ya kug'ang'ania majina ya mafisadi kutafuta promo? Pia kuhusu Nasaari ufisadi alofanya kula posho bila safar una baraka za chama chetu? Matusi hayajengi
 
Ntuzu

Ntuzu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Messages
17,426
Points
2,000
Ntuzu

Ntuzu

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2013
17,426 2,000
Kama mna historia ya kushinda kesi hivyo. Mbona ya bomu la soweto haipelekwi mahakamani ilhali ushahidi wa "DVD" upo?
Nyie ndio mnawatuhumu Cdm nendeni mahakamani nyie!
 
M

Mathias Lyamunda

Verified Member
Joined
Apr 4, 2013
Messages
1,367
Points
1,225
M

Mathias Lyamunda

Verified Member
Joined Apr 4, 2013
1,367 1,225
Kama mna historia ya kushinda kesi hivyo. Mbona ya bomu la soweto haipelekwi mahakamani ilhali ushahidi wa "DVD" upo?
The burden of proof iko upande wa CCM waliosema Chadema imejilipua yenyewe..
 
Sir R

Sir R

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2009
Messages
2,176
Points
1,195
Sir R

Sir R

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2009
2,176 1,195
CCM ni wepesi sana katika kupanga mambo yao.
 
M

Mathias Lyamunda

Verified Member
Joined
Apr 4, 2013
Messages
1,367
Points
1,225
M

Mathias Lyamunda

Verified Member
Joined Apr 4, 2013
1,367 1,225
Kama kweli Lema ana ushahidi wa bomu la SOWETO mbona hakuuweka wazi bungeni badala ya kug'ang'ania majina ya mafisadi kutafuta promo? Pia kuhusu Nasaari ufisadi alofanya kula posho bila safar una baraka za chama chetu? Matusi hayajengi
Nassari Alimwandikia Katibu wa Bunnge na akamtaka ampe ushauri maana hajaenda Safari anapaswa kufanyaje na posho ameshachukua kwa ajili ya safari? Au hujaona communications alizofanya Nasari kwa Katibu wa Bunge?
 
N

nkombole

Member
Joined
Aug 1, 2013
Messages
79
Points
70
N

nkombole

Member
Joined Aug 1, 2013
79 70
Vipi kauli ile ya Dr Slaa mara baada ya uchaguzi mkuu kwamba nchi hii haiwezi kutawalika? tukiunganisha dots nam matukio mengi ya fujo kwenye mikutano ya siasa hususan ile ya CDM kuna mahusiano yoyote ? au hapo dots haziunganiki?
don't diverge from the track
 
mbinguni

mbinguni

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Messages
2,001
Points
1,250
mbinguni

mbinguni

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2013
2,001 1,250
CCM haitafanikiwa kamwe na siasa zake za maji taka.
Swala la Mabomu ya Soweto na Olasit laibuka tena bungeni, baada ya Kijana aliyebambikizwa kesi na kuteswa akilazimishwa kumtaja Lema kuwa ndo aliyemtuma kulipua mabomu hayo! Kijana yupo Bungeni tayari kumwaga ushahidi wake. Waziri mkuu amekosa majibu asema wampelekee katika maandishi.

Baada ya mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema kukoswakoswa na bomu la Soweto yeye na Mwenyekiti wa chadema Freeman Mbowe na kuua Watoto wadogo (3) na kiongozi wa chadema (1) na kuacha makumi bila viungo kama miguu, mikono. Sasa jeshi la polisi kwa kushirikiana na Mwigulu Nchemba liko kwenye harakati za kumubambikia Mhe. Lema kuwa yeye ndiyo aliyetuma mtu kwenda kulipua bomu kwenye kanisa la Olasti (St. Joseph Moyo safi) bahati mbaya sana kwa CCM na jeshi lake na bahati mzuri Kwa mhe. Lema na Chadema ni kuwa kijana huyo aligoma kabisa kusema/kutenda dhambi hiyo ya kusema uongo licha ya kwamba aliwahi kugombana na Mhe. Lema na akawaambia nina ugomvi na Lema lakini siwezi kumsingizia kitu kama hicho kijana huyo aliminywa sehemu za siri na kutishwa lakini alisimamia msimamo wake huo na akawaambia wakati wa mlipuko huo kijana(Nico) alikuwa gerezani kwa kesi nyingine.. Ndipo jeshi la polisi kwa aibu wakamwachia kijana huyo kwasasa yuko bungeni na alikuwa tayari kutoa maelezo hayo...

Lakini Waziri mkuu alimtaka Nasari akaandike maelezo ili ampelekee, kasimama Godbless Lema kukazia swali hilo Makinda akamwambia hairuhusiwi kurudia swali Lema akasema ana masikitiko makubwa kuwa yeye baada ya kukoswakoswa sasa anaandaliwa kesi ya kulazimishwa kuwa yeye alituma watu kuja kulipua bomu kanisani na baadae kwenye mkutano wa chadema soweto.
 
WA-UKENYENGE

WA-UKENYENGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2011
Messages
2,906
Points
1,500
WA-UKENYENGE

WA-UKENYENGE

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2011
2,906 1,500
Daaah umenikumbusha mbali sana sana sana miaka ya 1990's...huu ni moja kati ya nukuu nyiingi zilizo ktk ukuta wa korido za madarasa ya Tabora School,nilishiriki kuandika kama assignment ya somo la Fine Arts..hii ni kazi ya mikono yangu,wakati huo somo la sanaa ya kuchora likiwa sehemu ya mtaala,Mkuu hii ni kazi yangu hii...huku blassband tukiwa na Mwl.Kanyaboya....U Remind me of those days
Duh hongera sana kwa kazi nzuri, mimi niliikuta tu hii kazi nzuri miaka ya 2000's, nilipoiona sehemu nikasema niirushe maana ujumbe wake ni moto haswa.
 

Forum statistics

Threads 1,285,583
Members 494,675
Posts 30,867,462
Top