Elimu ya hapa na pale
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 846
- 825
Mko pamoja kwani na wewe uko gerezani?? Acha utani bwana. Badara ya kumshauri aache matusi kama mtoto mdogo halafu unasema uko pamoja naye weweee. Achabwembwe.Tuko pamojah Lema tunakuamini sisi wana wa A Town utatutumikia hata kama uko gerezani na 2020 tutakuchagua hata kama uko gerezani
swissme
Hoja?Wasiojitambua labda, hata huko selo watu wanauliza umekuja na kesi gani sio hiyo ya Lema ya Kiboya sana anajazia watu nafasi kwa kupenda sifa. Mwenyewe katupa silaha chini ili ajue kuna watu wamepinda zaidi yake serikali lazima imnyooshe yeye nani mpaka awe analeta ujinga huo huo kila siku.
Yaani watu wanaenda mahakamani kufatilia kesi ya kijinga kuliko zote na anamawakili wa chama chake wakati watu wanazo kesi ngumu wanashindwa kupata mawakili wa kuwawakilisha.
Upinzani utapaa kwa kuletea watu maendeleo na sera mbadala za kutatua ugumu wa maisha na kero za watu sio kwa ujinga wa Lema.
Watasubiri sanaHa ha ha, hela ya kuwalipa jamaa itakuwa imekata!
Nadhani hiki ndicho Magu anachotaka, kitakachofuata ni Lema kukubaliana na maagizo yao.
sasa kama amewahi kujipeleka mwenyew jela, alikuwa anahangaika na dhamana ya nn? maana inaonekana anapenda kuishi kwenye shimo la tewa.
Kwani Mkullu aogopa kufa?kaka jela sio kuzuri, unasema hivo sababu sio ww uliye huko jela, na uhakika kitendo cha kukaa ndani lema anaisoma namba vilivyo, naye lema kazidi kosa alilofanya ni kubwa sana na kutangaza njama na nia za mkulu wa nchi atakufa kabla ya mda fulani! yaani aliweka na time frame kabisa duh alafu anajificha nyuma ya mgongo wa ndoto.
Death be with uNgoja dunia imfunze adabu
Huwezi kumtabiria Rais wetu KIFO eti kabla ya 2020Yaani anafanya siasa kila kitu alafu wengine kawaambia mpaka 2020
Wewe umemwondelea kifo au umekifuta kifo?.kifo kina mamlaka kuliko mamlaka za viongozi wetu.kimetawala toka adamu hadi sasa.tutake tusitake kipo na kitatuua tuHuwezi kumtabiria Rais wetu KIFO eti kabla ya 2020
wewe nani Nabii??
au mti wa siasa za majitaka zilizojaa unafiki
kwanini usisubiri 2020?
..Kama anapaishwa kisiasa mnamtetea wa nini?..Wewe ndio unadhani hivyo
Only cowards wanafikiri kama wewe
Kwani jela ni kwa watu fulani?...hata wewe kesho unaweza kujikuta jela tu...huko pia kuna maisha
Lema sio mara ya kwanza kwenda jela...na alishawahi kujipeleka hata yeye mwenyewe...kama mnadhani mnamkomoa Lema kwa kumpeleka Jela Mnakosea
Hivi mfano angeota huyo bwana ako atakuwa rais wa afrika angekamatwa? Get your senses mkuu...tumieni akili
Agani...Kisiasa kumfunga mwanasiasa ni kumpandisha level Yake
Na mimi mwingine niko na lema,unasemaje atumie umoja,malyTumia umoja na si wingi
Wewe magufuli kama anafanya vizuri katika urais wake unamtetea wa nini kila kukicha nyuzi za kumtetea ...Kama anapaishwa kisiasa mnamtetea wa nini?..
Kwani huyo aliyeambiwa kuwa atakufa ataishi milele?Ngoja dunia imfunze adabu