meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,828
Muache ajifariji baada ya kuangukia pua.
Isije ikawa wewe ndiye unayejifariji tu!
Muache ajifariji baada ya kuangukia pua.
Sasa ameanza rasmi kampeni za kutuma spam messages akiomba kupigiwa kura.
Inasikitisha hii mitandao yetu kutumika kwenye kampeni na kugawa namba zetu kwa wanasiasa.
Wale waliosema lema hatapiga kampeni waje humu tujadiliane
Habari ya Mwanza, ila kwenye uchaguzi mwanza hawakufanya makosa, walipiga nyundo ya utosi, paaaaaaah!
Tanzania tuna maajabu mengi...kuna wanyama aina ya nyumbu kila msimu wanahama toka mbuga hii kwenda nyingine sijuhi wako wapo sasa hivi!
Mwisho wa mwezi huu kinaeleweka
nimesikia anagawa na vyandarua! Hahahahahahaha
Hata mimi kwenye kampeni za Lowassa nilikuwa naenda. Of course sio kusikiliza pumba zake...bali kutazama namna anavyo tetemeka na anavyo jinyea. Nilitaka nijionee kwa macho. Na Jumapili sikufanya makosa....nilimkata!
Muache ajifariji baada ya kuangukia pua.
Mwisho wa mwezi kuna tukio jingine
...wewe huwezi juwa kaa kimya!
Arusha wanataka connection za biashara sio vurugu za maandamano
Tumebadilika Baba! Lema katuletea wajane na mayatima.sasa Tunataka tupige pesa. Monaban fungua milango biashara zimezorota na hatutaki maandamano.
Duh mbona walisema apigi kampeni
Arusha wajitambue kuwa na lema kama kuwa na nape tuu hawana tofauti wote walopokaji
Halafu wakipigwa chini akapewa Kingwendu analeta impact gani kwa uchumi wa mtu mmoja mmoja,anachagiza nini ktk maendeleo ya wananchi kuhusu biashara zao za Kitalii hasa ikizingatiwa Arusha ilipo kwa Jiografia yake,hujiulizi mara mbili mbili miaka yoote Jiji liko kwenye mihemko,vurugu,maandamano na karaha zote,mbona maandamano hayo hayaendi kufanyika Hai au Moshi Mjini,Singida Mashariki?Kukiwa na vurugu nani atakubali kuacha biashara yake wazi kama si kuifunga kwa kuogopa Vibaka na hasara ya uharibifu wa mali?biashara yenyewe Mtaji umekopwa toka FINCA,PRIDE,BAY PORT nk,Akili za kuambiwa changanya na zako baba!
mjomba bado uko hewani?Sasa ameanza rasmi kampeni za kutuma spam messages akiomba kupigiwa kura.
Inasikitisha hii mitandao yetu kutumika kwenye kampeni na kugawa namba zetu kwa wanasiasa.
Vipi maji ya shingo yamekuwa maji ya ugoko?
Allen Kilewella lemakeshaangukia puahuwa siwaelewi watu wanaoingua mkono CCM humu ndani kwa nini majina yao kwa lugha yetu ya kiswahili huwa na maana ya ajabu ajabu sana. Sasa huyu jingalao sijui anajuana na yule barafuyamoto, maana afadhali hata yule naye aliyejiita Mudawote. Kazi ya Lema kuvuka maji ya shingo mliyoyaona kwenye ndoto zenu ndiyo keshaimaliza!!
Muuza mahindi akaendelee kuuza mahindi yake.