mukulupapaa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 2,930
- 1,733
Kakimbia mbio za mbwa mwitu
Hivi Arusha mnampaje kura mwehu vile?!!
Unajua mwehu anawaona wazima ni wehu. Wewe umethibisha uwehu wakoHivi Arusha mnampaje kura mwehu vile?!!
Sasa ameanza rasmi kampeni za kutuma spam messages akiomba kupigiwa kura.
Inasikitisha hii mitandao yetu kutumika kwenye kampeni na kugawa namba zetu kwa wanasiasa.