Lema maji ya shingo Arusha

Lema maji ya shingo Arusha

Yaani wewe huwa unaweka mambo ambayo hata huyajui hapa. Hujui hata tarehe ya uchaguzi wa Arusha. Hivi tarehe 13/12/2015 ni mwisho wa mwezi? Bure kabisa!

Mwisho wa mwezi kuna tukio jingine
...wewe huwezi juwa kaa kimya!
 
Sasa ameanza rasmi kampeni za kutuma spam messages akiomba kupigiwa kura.

inasikitisha hii mitandao yetu kutumika kwenye kampeni na kugawa namba zetu kwa wanasiasa.

Kama kawaida yako utumbo mtupu
Toa ujinga Wako hapa
 
Sasa ameanza rasmi kampeni za kutuma spam messages akiomba kupigiwa kura.

inasikitisha hii mitandao yetu kutumika kwenye kampeni na kugawa namba zetu kwa wanasiasa.

Unawashwa....umekunywa juisi ya -----..ngoja ukunwe...
 
Arusha mjini kwa ccm hata angegombea magufuli halafu cdm wamsimamishe kingwendu ccm watapigwa tu......
 
Arusha mjini kwa ccm hata angegombea magufuli halafu cdm wamsimamishe kingwendu ccm watapigwa tu......

Tumebadilika Baba! Lema katuletea wajane na mayatima.sasa Tunataka tupige pesa. Monaban fungua milango biashara zimezorota na hatutaki maandamano.
 
Hata mimi kwenye kampeni za Lowassa nilikuwa naenda. Of course sio kusikiliza pumba zake...bali kutazama namna anavyo tetemeka na anavyo jinyea. Nilitaka nijionee kwa macho. Na Jumapili sikufanya makosa....nilimkata!

Nenda kwenye tarabu bint weweee
 
Lema ndie mtu pekee anayyeweza kukaribia, na pengine hata kuvunja ya Mr Sugu kwa wingi wa kura! Opareshen Delete CCM ndo inamalizia kazi huko Arusha.namuonea huruma yule diwani Gamba katikati ya magwanda kibao!
 
Arusha wajitambue kuwa na lema kama kuwa na nape tuu hawana tofauti wote walopokaji
 
Halafu wakipigwa chini akapewa Kingwendu analeta impact gani kwa uchumi wa mtu mmoja mmoja,anachagiza nini ktk maendeleo ya wananchi kuhusu biashara zao za Kitalii hasa ikizingatiwa Arusha ilipo kwa Jiografia yake,hujiulizi mara mbili mbili miaka yoote Jiji liko kwenye mihemko,vurugu,maandamano na karaha zote,mbona maandamano hayo hayaendi kufanyika Hai au Moshi Mjini,Singida Mashariki?Kukiwa na vurugu nani atakubali kuacha biashara yake wazi kama si kuifunga kwa kuogopa Vibaka na hasara ya uharibifu wa mali?biashara yenyewe Mtaji umekopwa toka FINCA,PRIDE,BAY PORT nk,Akili za kuambiwa changanya na zako baba!
 
Potelea mbali Arusha wanajitambua. ccm Arusha walishai delete siku nyingi. Hatuitaki ccm Arusha hata mkazikiri uchi mpige na push up.
 
Back
Top Bottom